Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Hicho mbona kitambo huko Tanga na Mikoa ya pwana lakini hasa Tanga tangu miaka ya 80sndo naksikia
Hicho mbona kitambo huko Tanga na Mikoa ya pwana lakini hasa Tanga tangu miaka ya 80s
Nenda madukani mkuu chupa kubwa inauzwa 3500 Kamq sijakosea! Halafu soma viambataInatengenezwa kwa mchanganyiko gani?
sema huwa napitapita tu huko sjawah kukaa sana.Hicho mbona kitambo huko Tanga na Mikoa ya pwana lakini hasa Tanga tangu miaka ya 80s
Nimeikumbuka Tanga. Kinywaji pendwa.Kinaitwa Anjari aka Heltho. Kuna wakati nimewahi kunywa kama mara 3 hivi. Juzi juzi nilikuja Bongo nikapewa nyumbani kwa jamaa yangu mmoja. Sikuweza kataa nikanywa.
Swali je kinatengenezwaje? Yaani wanachanganya nini na nini? Je hakina madhara kiafya? TBS huwa wanalala na wale wa chakula na vinywaji nao hivyo hivyo walalavi. Hawajali maslahi ya walaji.