Je Ankoo Zumo anaweza Muziki?

Jackson Sugwa

Member
Joined
Oct 5, 2018
Posts
16
Reaction score
6
Hatimae muigizaji maarufu wa vichekesho nchini Tanzania Ankoo Zumo anaye igiza pamoja na Familia yake yaani Mwanae Maisala na Na mke wake (Mama yake Mai)
Ambaye amejipatia umaarufu sana nchini na hata nje ya nchi hatimae hatimae ameamua kuingia kwenye tasnia ya Muziki rasmi.
Nimekuwekea hapo chini video ya nyimbo yake ya kwanza na mpya kabisa inayoitwa "Naona raha"
Nakusihi chukua time yako kuitazama kisha utoe maoni yako.
 
Sawa mkuu mziki unalipa ukiona hivyo....wamebaki wacheza mpira kuanza kuimba tu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…