Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni nomaFinals za West mwaka huu ni hatari tupu, by the way kuanzia semis ilikuwa ni fire
Friday 0300, sijui tuseme leo kuamkia kesho?Game ya celtics vs pacers ni leo au kesho kwa huku East Africa na saa ngapi
Kuna article nimesoma among 20 highly paid NBA stars wamebaki watatu tu kwenye finals tena wa 10+ huko. Kumbe hela sio kiwango.Ni noma
all big 3 wametolewa (KD,Steph na LeBron)
Boston wako vizuriMbona sioni upinzani hizi series asee...Celtics tuna lead 3-0, Dallas leads 2-0..Bado mechi moja2 ya ugenini Boston tuingie final babaake
Wamezidiwa mno..unajua timu yenye Pointguards wawili kwenye first5 waga ni moto sana(Kyrie na Doncic)Sijui Steve Kerr huwa anafeli wapi kuchezesha Double PG pale Dub nation(Steph Curry na CP3).Niliona Antman alivotepeteshwa na Kyrie..Rudy Gobert nae kachezeshwa sebene na Luka Magic kabla ya kupiga 3pts ile hadi aibu kwa Center wa DPOY(Defensive Player Of The Year)Kama RudyBoston wako vizuri
Hata historia inawabeba
Nilitegemea wolves walete upinzani mkali kule magharibi lakini naona kama safari yao inaweza kuishia hapa kama ilivyokuwa 2003/2004.
Combination ya Irving na Doncic ni moto...Wamezidiwa mno..unajua timu yenye Pointguards wawili kwenye first5 waga ni moto sana(Kyrie na Doncic)Sijui Steve Kerr huwa anafeli wapi kuchezesha Double PG pale Dub nation(Steph Curry na CP3).Niliona Antman alivotepeteshwa na Kyrie..Rudy Gobert nae kachezeshwa sebene na Luka Magic kabla ya kupiga 3pts ile hadi aibu kwa Center wa DPOY(Defensive Player Of The Year)Kama Rudy
Kutaka kumfananisha na air Jordan ni matusi makubwaHuyu dogo sio Jordan labda Michael B Jordan au Jordan Poole😄
Steph and CP3 wote kwa pamoja, unakuwa na disadvantage katika defence...and pia Cp3 amechoka kwasasa hawezi cheka dakika nyingi with the same speed.Wamezidiwa mno..unajua timu yenye Pointguards wawili kwenye first5 waga ni moto sana(Kyrie na Doncic)Sijui Steve Kerr huwa anafeli wapi kuchezesha Double PG pale Dub nation(Steph Curry na CP3).Niliona Antman alivotepeteshwa na Kyrie..Rudy Gobert nae kachezeshwa sebene na Luka Magic kabla ya kupiga 3pts ile hadi aibu kwa Center wa DPOY(Defensive Player Of The Year)Kama Rudy
Mie fan wa LA Lakers lkn kwa timu zilizobaki bado nna matumaini na Wolves.Unamjua Luka Magic wewe?Kanichezeshea sebene Mfaransa mmoja ivi😂
Kwa umri wake alichoachive hadi sasa ni kikubwa sana.Mdomo ulimponza Antman