Morant namkubali sana, lkn kwenye NBA kama hujui kubalance mchezo wako usipate majeraha basi stardom itakua ngumu kwako sabab utasugua benchi sana. Moves za Ja Morant ni very very dangerous, kuna dunk moja alimdunk Lebron then dogo akaanguka vibaya kinoma nikashangaa kwa nn hakuumia.
Edwards anapokuja kuwazidi hao wengine ni kwenye umakini, Edwards yupo vzr sana kwenye offense lkn yuko makini saana, ngumu kupata majeraha.
Talent ukiwa na majeraha hutofika popote, umeona mfano KD, kpnd yupo warriors alivyokuwa wa moto, lkn majeraha yalimrudisha nyuma sana.
Lastly, Ant man tunamcompare na MJ kwa kuangalia future yake, his future is more promising. Sio mm tu, angalia media za US utaona wanavyomuongelea huyu dogo