Forest Hill
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 2,873
- 6,821
- Thread starter
- #41
Utalipia usd 20 ila simu Haina WhatsApp Wala apps za maana zaidi ya kupiga simu tu??ina ios 9 ninafikiri iphone 4 sio 4s
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utalipia usd 20 ila simu Haina WhatsApp Wala apps za maana zaidi ya kupiga simu tu??ina ios 9 ninafikiri iphone 4 sio 4s
Ww unatumia ujuzi gan mkuu? Maan njia zngne ukibypass simu haitosoma lain zaid ya wifi tuUtalipia usd 20 ila simu Haina WhatsApp Wala apps za maana zaidi ya kupiga simu tu??
Original ndio, Just ingiza serial number kwenye website za Apple then inakuletea taarifa zake!Hivi hizi za Tanganyika ni iphone? Iphone zile Original kabisa?
Jilisheni upepo tuHizo sio original, zile zao huwezi
Unachekesha, Dunia ya Teknolojia iko Mikononi mwa Software Engineers, Programmers, Computer Engineers, Computer Scientists, IT wewe ni msaidizi tu wa hao jamaa, utumie ulichoandaliwa na hao jamaa.Ukitaka ujue , kinachoendela, iphones wanatoa updates kila muda mfupi, ambazo hazina tija,
Vijana wa IT wako kazini,hii Dunia iko mikononi mwetu,
IT Man running this funking world
Sema binadamu wengi hawapati Informations sahihi
Huduma hii Apple wamefutaOriginal ndio, Just ingiza serial number kwenye website za Apple then inakuletea taarifa zake!
Siku zote ni marketing na kudanganya Average user, ila hata wao wanajua zinatunguka.Mimi shabiki sana wa bidhaa za Apple hasa iMac,simu yao ya Kwanza kumiliki ni iPhone 3Gs mwaka 2010,tulikua tunapata changamoto ya kudownload apps ambazo hazipo Appstore kutokana na utundu nikajua ku jailbreak iPhone na ku install Cydia (3rd part store).
Ilipotoka iPhone 5s ulinzi wa Apple ukaboreshwa, wakatangaza atakayeweza ku jailbreak iPhone 5s analipwa billion 6 za kitanzania..wahuni wakafanikiwa kujail break solution tukapata ikawa easy.
Ugumu ukawa kutoa iCloud lock,ukiokota iphone au kusahau password ya iCloud yako simu inakua KOPO.
ila akatokea mrusi anaitwa Vighor akagundua kitu kinaitwa DNS bypass..ukiingia Kwenye server yake, ukiwa USA unatumia server hii,
104.154.51.7
Africa;104.155.28.90
Kupitia servers hizo iPhone iliyoibiwa mwizi anaweza kutumia simu yako ila hatoweza kupiga simu Wala kutuma SMS..ni mwendo wa WiFi tu.
Solution hii inatumika Hadi leo (hata Kwenye latest iPhones).
Zilipotoka iPhone 7 ikagundulika njia ya ku bypass iCloud activation lock.
Means ukiibiwa simu mtu anatoa passcode kwa kutumia computer then ikitaka aweke iCloud yako,ana bypass activation lock,anatumia simu vizuri Kama yake,anaweka iCloud yake.anapiga simu,ana download apps. Mimi binafsi Nisha bypass iPhones zaidi ya 10 aina tofauti na iOS versions LATEST KABISA(sio za wizi kujifunza)..ila sharti usi restore simu. Ku bypass icloud activation lock inawezekana mara moja tu.
Swali; kwanini Apple wanasema simu ikiibiwa find my iPhone ikiwa ON mwizi hatoweza kuitumia??wakati hapa dar watu kibao wanatumia iPhones za wizi? icloud activation lock inarukwa? Apple hawajui?
Nachofahamu DNS BYPASS Apple wameshindwa kuifunga coz inatumia Captive portal, ambayo kama Apple akifunga haitowezekana ku activate hata simu ambazo sio za wizi.
Bro Asante Sana nilitaka kukutag uje uthibitishe..hawa Apple wahuni Sana.. ila watu hadi kesho wanashupaza shingo,Siku zote ni marketing na kudanganya Average user, ila hata wao wanajua zinatunguka.
Hata mimi mkuu nishabishana sana na fans wa Apple humu, Security ya Apple ni nzuri kuku Linda na hackers wadogo wadogo, kulinda vijana wa mtaani wa siku track, sijui kuiba text za WhatsApp etc.Bro Asante Sana nilitaka kukutag uje uthibitishe..hawa Apple wahuni Sana.. ila watu hadi kesho wanashupaza shingo,
Sister yangu alipigwa iPhone Ina passcode na iCloud ipo on..akalog in iCloud.com ku access data zake akarudisha vitu baadhi ila simu ipo offline na find my iPhone ipo On..
Siku ya pili anaingia Tena kuangalia simu yake anaambiwa hauja sign in Kwenye device yeyote.. hahaha
Apple hawafanyi matangazo kwenye nchi masikini mkuu.Mimi nachojua iPhone producers au Apple hawajawahi kuwa na wateja hapa Tanzania.
Bitcoin founder haijulikani uraia wake sahihi mkuu, na yaweza kuwa sio mtu bali kikundi cha watu.Anakaribia kutoka, lakini vijana ma IT, munaenjoi maisha TU.
Bitcoin inverter mjapani mpaka Leo, Hola, Amekuwa mfano wa kuigwa wa cryptocurrency.
Mkuu kama wewe una ujuzi jilipuwe TU, utakuwa umeisaidia Dunia pakubwa.
www.1337x.toNikitaka movie naingia pirates bay ama torrent galaxy
Elimu ya watanzania Ina shida mtu hata umuelekeze vipi hakuelewi..Mimi kufungua simu yenye iCloud sio suala gumu,ila kuhack kua access data za mtu ndio Jambo gumu Sana, nahisi hata hao hackers Wana tools za hali ya juu..Hata mimi mkuu nishabishana sana na fans wa Apple humu, Security ya Apple ni nzuri kuku Linda na hackers wadogo wadogo, kulinda vijana wa mtaani wa siku track, sijui kuiba text za WhatsApp etc.
Ila linapokuja Suala la kidunia hackers wakubwa wakubwa Hio icloud data zinavuja kila siku, hizi ndio simu pendwa za masuper star kila siku video zao zinavuja, icloud siku hizi watu wanapita nazo.
Muda kidogo niliwahi kumsaidia Ndugu yangu kununua Iphone 8 ile simu ulikua huwezi ku update, unalogin fresh icloud na Apple ID ila ku update haikubali, nilisumbuka nayo sana mpaka baadae nikajua ilitolewa icloud, simu yoyote ios 16 kushuka inatoka icloud na signal zinafanya kazi fresh tu kwa bei za kawaida. Hizi ios mpya ndio zina gharama sana
Watu wazamani muna shida sana,Unachekesha, Dunia ya Teknolojia iko Mikononi mwa Software Engineers, Programmers, Computer Engineers, Computer Scientists, IT wewe ni msaidizi tu wa hao jamaa, utumie ulichoandaliwa na hao jamaa.
Ni sawa na Mtu wa PCB anayesoma BAM aseme yeye ni Mwamba wa Mahesabu mbele ya Mtu anayesoma Pure Advanced Mathematics.
Ule ni wivu TU, wa France kwa kijana wa Russian akiwa na online platform kubwa wakati wao hawana.Mwenye Telegram katutupia vilago baada ya kuminywa mapumbu....sasa hivi ukiweka link yoyote kule wanaifuta!
Information technology (IT) is the use of computer systems, hardware, software, and networks to manage, process, protect, and exchange information.Watu wazamani muna shida sana,
Sasa unajua maana ya information technology IT ni nn ?
Jibu lako hili hapa 😎Information technology (IT) is the use of computer systems, hardware, software, and networks to manage, process, protect, and exchange information.
Unachekesha, Dunia ya Teknolojia iko Mikononi mwa Software Engineers, Programmers, Computer Engineers, Computer Scientists, IT wewe ni msaidizi tu wa hao jamaa, utumie ulichoandaliwa na hao jamaa.
Ni sawa na Mtu wa PCB anayesoma BAM aseme yeye ni Mwamba wa Mahesabu mbele ya Mtu anayesoma Pure Advanced Mathematics.
Hivi kwanini IPhone 10 inapendwa sana na haipatikani kiurahisi hata kwa refurbished? Nina ndugu yangu hiyo amesema hawezi kuichia kabisa hata awe na latest yoyote. Yeye shabiki pia tangu na simu ya kwanza ianze.