Je, Apple wanadanganya kuwa stolen iPhone haiwezi kutumika tena?

Utalipia usd 20 ila simu Haina WhatsApp Wala apps za maana zaidi ya kupiga simu tu??

inafunguka hivi iphone 4 yangu bahati mbaya nipo nje ningekuwepo bongo ningekuona na kukukupa elfu 20 unifungulie niweze kuitumia simu kwa kupiga na kupokea tu ninajuwa What's App haitoweza kufanya kazi lakini bahati mbaya nipo nje ya nchi.
 
Hivi na haya magari kama range rover, land rover, BMW, Audi, MB ya Tanganyika ni zile original kabisa?

Maswali na fikra za kijinga sana!
Sijawahi sikia mtu akilalamika kauziwa clone ya BMW, Audi ila vilio vya hayo ma iphone vimejaa kila sehemu. Au wewe umeshawahi kuona clone ya Benz? Acha mifano ya kitoto.
 
Sijawahi sikia mtu akilalamika kauziwa clone ya BMW, Audi ila vilio vya hayo ma iphone vimejaa kila sehemu. Au wewe umeshawahi kuona clone ya Benz? Acha mifano ya kitoto.
Wewe hujui kitu, inawezekana hata Baiskeli ujawahi kumiliki.

Miliki gari za ulaya alafu jichanganye uende kwenye maduka ya hakina Maiko ukanunue spea badala ya kuuziwa spea ambayo ni Genuine utauzuwa kopi.
 
Wewe hujui kitu, inawezekana hata Baiskeli ujawahi kumiliki.

Miliki gari za ulaya alafu jichanganye uende kwenye maduka ya hakina Maiko ukanunue spea badala ya kuuziwa spea ambayo ni Genuine utauzuwa kopi.
Sasa kwenye spea tumeingiaje tena boss? Hoja yako si ni iphone vs BMW/Benz?
 
N
Nijuavyo mimi kuna marketing terms aka kitu chakukufanya uuze and technical terms aka kiufundi zaidi kingine ni brand
Apple kwakua ni product za US atakachosema nikweli hata km kiuhalisia sio.
Nakupa mfano hizi Mac za kuanzia 2017 mpk sasa ssd zake ni soldering means ikifa mpk ukabadilishe Kwa fundi electronics na zinakufa balaa lkn jamaa hasemi kua kuna loophole kubwa sn kwenye products zake.
Huawei and Chinese products zinaweza kua more reliable tena kuliko iPhone sema nchi and products inawabeba
 
Ajabu,unanunuaje Pc disk yake inbuilt..

Computer zao Bei kubwa Sana ila imara Sana,Hadi leo MacBook G4 watu wanatumia..
 
Wabongo kwa kulishana matango pori. Kwa hiyo kuna iphone fake zinazotumia ios na kupokea updates kutoka kwenye server za apple moja kwa moja, au sio?
Hii Uongo bwana

Ndio maana mkiambiwa mchezaji anafunga akiwa amesimama waaa mnaamini.
 
Mkuu unakumbuka habari za BLACKBERRY?....

Ilibebwa sana na kufanya watu waiamini kuwa ni the best,.... lakini nyuma ya pazia zilikuwa zikitumika vilivyo kukusanya data za wateja pale zinapohitajika,.....

Kuhusu iPhone nahisi kuna sintofahamu nyuma ya pazia,....
 
Facebook tu wanakesi mahakamani huwa Wana collect data za wateja. Wakati sera zao zinasema wanalinda Faragha za watu na data zao..
 
Facebook tu wanakesi mahakamani huwa Wana collect data za wateja. Wakati sera zao zinasema wanalinda Faragha za watu na data zao..
Ishu ya kukusanywa taarifa za watumiaji wa simu nadhani inafanywa na makampuni yote Duniani,.....haijarishi tunadanganywa vipi na hao watengenezaji,...
 
Ukitaka ujue , kinachoendela, iphones wanatoa updates kila muda mfupi, ambazo hazina tija,

Vijana wa IT wako kazini,hii Dunia iko mikononi mwetu,

IT Man running this funking world
Sema binadamu wengi hawapati Informations sahihi
Sasa ni kama inawezekana kwanini FBI walishindwa dukua icloud wakakimbilia mahakamani kuishitaki apple? Au unataka sema FBI hawana IT?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…