Je, Apple wanadanganya kuwa stolen iPhone haiwezi kutumika tena?

Shekhe iphone 16 imetoka na iso 18 huyu ana update iso 18 kivipi au wewe ni sharo kwenye iphone au ulikosea ulitaka kusema iphone 15
 
Sasa ni kama inawezekana kwanini FBI walishindwa dukua icloud wakakimbilia mahakamani kuishitaki apple? Au unataka sema FBI hawana IT?
Nikuongea tu kila mtu anaongea anavyoweza ila latest iphone kutoka icloud lock sio rahisi kama hivyo ni story wanaongea kujamaa anaitwa tall ni IT mzuri sana mtaa wa argey mafundi simu wengi wanamtegemea sana katika ubishe kwenye kijiwe chakawaha wadau wakampelekea iphone 14 yenye ISO 17 jamaa aliuliza mpaka wahindi wanaumuuziaga mafile na crack ila iligonga nyundo ukisikia story ni rahisi sana ila mpe simu sasa atoe lock 😂😂😂😂 anaeweza hivyo ujue ni mtu mwenye data base na technology ya
Zaidi ya billion hukoo sio mtu mwenye kalaptop ka milioni na unlimited bundle hawezi
 
Wabongo kwa kulishana matango pori. Kwa hiyo kuna iphone fake zinazotumia ios na kupokea updates kutoka kwenye server za apple moja kwa moja, au sio?
wabongo wana ushamba mwingi..mimi nishanunua hizo iphone tena huko USA zaidi ya mara tatu na nkuja bongo natumia. Sasa wanaosema bongo hakuna hizo simu OG ndio nawaona malimbukeni
 
wabongo wana ushamba mwingi..mimi nishanunua hizo iphone tena huko USA zaidi ya mara tatu na nkuja bongo natumia. Sasa wanaosema bongo hakuna hizo simu OG ndio nawaona malimbukeni
si unajua tena watanzania wakimwamini mtu. tangu yule dada awambie bongo iphone zilizopo ni fake basi wakalibeba kama lilivyo.
 
Changamoto ni kwamba leo uki bypass iOS 16 Kwenye iPhone 14,ikitoka iOS 16.1 kipengele kinabadilika,ndio maana Wana update software Mara kwa Mara..

Solutions huwa zinachelewa,kila flashing tool Ina limit ya Software..

Hata Android latest kutoa FRP tu inakuaga mtihani
 
Shekhe iphone 16 imetoka na iso 18 huyu ana update iso 18 kivipi au wewe ni sharo kwenye iphone au ulikosea ulitaka kusema iphone 15
Msela Hana uelewa Find my phone kama una simu ya IPhone @Icloud.com unaweza Kuingia Kwenye Simu Yoyote Google Andika ICloud login na akaunti yako alafu Nenda kwenye Sehemu Imeandikwa Find My Phone kama hawata Kuletea Sehemu ilipo, Vijembe vingi IPhone the Best ata Kama Haina Bando inasoma Location Hauoni Unapiga Picha ingali Huna Bando lakini inakuletea Location ya Picha
 
Nina swali hapa ios ipi latest ume bypass? Kwenye maandishinyako umeongelea za nyuma sana
 
Kwamba ni unhackable? Hiyo haipo.
Wanaweza wakaongeza security fearures, lakini hiyo haiwazuii watukutu ku penetrate. Kuna watu uki release new version wao kazi yao ni kufunia skirt hiyo new version waone umeivalisha chupi gani
 
Wabongo kwa kulishana matango pori. Kwa hiyo kuna iphone fake zinazotumia ios na kupokea updates kutoka kwenye server za apple moja kwa moja, au sio?
Kwa technology ilivyo sasa si jambo la kubisha tu, inahitaji ufanye utafiti. Mbona Microsoft wanatoa PC OS mpya wakiamini wameziba mwanya wa crackers lakini bado hata windows 11 unaweza install na kupata updates toka kwao bila kuwa na license. Watu wanaweza kupata iOS na waka install kwenye non apple devices
 
Umeelewa nlichokuuliza mkuu? Apple unlike microsoft anaunda hardware na software zake.
Microsoft upande mwingine anaunda OS ambapo anatoa leseni kwa watengeneza pc.
Unless iwe developer phone, kurun ios kwenye simu tofauti ni kipengele ndio maana inachekesha kusikia eti kuna simu za iphone fake zina run ios.
Kilichopo ni simu zenye kufanana na iphone zenye kurun android yenye mwonekano wa ios na mjanja yoyote atajua kuwa si ios
 
Kwahio IPhone iliyoibwa unaweza kuitumia tu bila shida?baada ya kuifanyia hayo maujanja?
 
Watu wenye maneno mengi kama ww ndo huwa hamjui k2, uzwazwa ulimbukeni na ujuaji mwingi kwny comments, cjui umetega nyavu humu..

Inshort n kwamba huna unachokijua, etu unaweza zima find my phone, hv unatuonaje kwani?

“Wangu wangu eeh?”

Nitajie app moja tuu uliyo idevelop kwa ujanja wako, moja tuu…

Km huna bac kakojoe ulale “hatutaki maneno matupu hapa.”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…