Je, Aristotle ndie chawa tajiri Tanzania? Je, ni Mtanzania?

Dear wee Aristoteee hana uwezo wa kuwa na hiyo mansion, hata na kugawa tunu yake badoo hawezii.

Anatafuta wapangaji hiyo nyumba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yeye aishie kukuwadiana na mabwana na shost ake Uwoyaa bas, haya mengine yako nje ya uwezo wake.
Mxxxxxxiiiiieeeeeew [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dear wee Aristoteee hana uwezo wa kuwa na hiyo mansion, hata na kugawa tunu yake badoo hawezii.

Anatafuta wapangaji hiyo nyumba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Weeee kumbeee
Ila kuna watu wana mishipa ya kujitoa ufahamu jamani?? Mimi nilimwamini asilimia 100
 
Dear wee Aristoteee hana uwezo wa kuwa na hiyo mansion, hata na kugawa tunu yake badoo hawezii.

Anatafuta wapangaji hiyo nyumba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Waaah..kisa cha kututisha ati ana eneo sqm af9? Aristotee mzee wa vikao
 
Waaah..kisa cha kututisha ati ana eneo sqm af9? Aristotee mzee wa vikao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyokoo zake mbna danga alopewa na uwoya hakumuhonga hizo pesa za kujenga mansion, kwa kinyeo gan alicho nacho yeye, lol
 
Nyie wadada mtakuwa maskini sana. Huyo jamaa atawamaliza. Ndo namsikia leo ila umempamba sana nikaona tayari ashakukula kimasikhara.
 
Sio rahisi kiivo chief!
 
Nifungulie hii code nimetoka bushi juzi [emoji3061][emoji28]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nyokoo zake mbna danga alopewa na uwoya hakumuhonga hizo pesa za kujenga mansion, kwa kinyeo gan alicho nacho yeye, lol
Haya sasa Toto la mjini hili hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haya sasa Toto la mjini hili hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan aristotee anarusha watu roho na wanarushikaa, kabisaaa?? Woiiiiiih
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan aristotee anarusha watu roho na wanarushikaa, kabisaaa?? Woiiiiiih
Mwenyewe nilishangaa jamaa anatoa wapi hela ya kujenga lile hekalu [emoji16]
 
Mwenyewe nilishangaa jamaa anatoa wapi hela ya kujenga lile hekalu [emoji16]
Atambeee?? Km boss na kuwadi wake Uwoya hana, ndo awe nayo yeye? Kwa kitobo gani? Anakunya dhahabu? Atupishee sie.
Yeye aendelee na salon bas. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamaa kumiliki hiyo nyumba sishangai kabisa, hapa Tanzania ukijua kuchuma pesa za wajinga na ukawa na nizamu ya pesa kutoboa maisha ni easy sana.

Kuna watu wanafanya uchawa wa akili ukimuona kama fala lkn anajua anachokifanya 100%. Mbona wapo wengi tu wamejenga na kuishi maisha ya kifahari kwa kujipendekeza na kuwasifia maboss&wanasiasa?

Bongo ukijua kuitumia akili Yako vzr nakuhakikishia haufi maskini, wajinga ni wengi sana wa kujichotea mipesa bure bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…