Barbiedoll
JF-Expert Member
- Apr 7, 2023
- 772
- 2,150
He kumbe anatafuta wapangaji?yani mimi niliamini ni yake kabisa hasa pale alipomuonyesha mkewe anaandaa breakfast jikoni na yule mwanae anacheza PSDear wee Aristoteee hana uwezo wa kuwa na hiyo mansion, hata na kugawa tunu yake badoo hawezii.
Anatafuta wapangaji hiyo nyumba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama sio yake basi ana kitu atafika mbali