Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Toka apple ameachia processors za Silcon M1 based on ARM achirtecture, ambapo zimeishinda processor ya intel yoyote yenye nguvu katika single thread kuanzia kwenye graphics rendering, na kila kitu mjadara umekuwa mkubwa mtandaoni.
Kabla ya hapo mjadara mkubwa ulikuwa ni AMD ryzen 5000 dhidi ya intel ambapo intel alikuwa kachapwa. Sasa naona kila kona ni M1 dhidi ya intel na kila kona intel kachapwa hata kurun windows via emulator bado benchmark imeipa 1306 dhidi ya 806 ya jinsi window inavyorun kwenye surface pro.
Sasa swali je huu ndiyo mwisho wa intel? Maana kuna fununu kuwa pia microsoft anatengeneza naye arm based processor zake.
Na kumbuka kama hizi ni toleo la kwanza la processor za cpu na zimemchapa intel, je itakuaje kwa matoleo yanayofuata.
Chief-Mkwawa