Je, Asha Rose Migiro angekuwa Rais angemtuma Balozi kuwasuta Kenya?

Masweeter

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2017
Posts
206
Reaction score
572
Ingukuwa hivi kama Dunia ingeongozwa na wanawake kusingekuwa na Vita, ungesikia Marekani haongei na Urusi, Mara Rwanda yainunia Burundi, Boko Haram wawapelekea Umbea alshabab, Ethiopia yasusia Misaada ya UN, Mara Djibout yamtuma Balozi wake akaisute Sudani, Waziri Mkuu wa UK awachamba Magaidi,Tanzania yawashushua Kenya hahaha
 
Mara utasikia Tanzania yawasusia mabeberu kodi,

Sijui Accacia Yawasusia Tanzania Makinikia 😀😀
 
Pressure ilikuwa juu ngoja nikae hapa itulie kidogo maana hili jukwaa sio la mchezo
 
Ngoja nipite kushoto.huu Uzi una vinasaba vya kina James delicious [emoji1][emoji1]
 
Looo, mjadala wa ajabu huu.
Inakuwaje mleta mada anasahau nyuma ya mwanamke kuna mwanaume (mara nyingi msemo huo hutumiwa kinyumenyume).
Nadhani mada hii itaeleweka vizuri hilo likitambulika hivyo.
 
Halafu post za hivi huwa zinawachangiaji wengi kinoma
 
Mbona PM UK ni mwanamke na hayo unayoongea hayapo?
 
Makamo wa rais"huyo ndali chako nilimchamba mpaka katakata babuwee,,eheee ubuyuuu"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…