OGTV JF-Expert Member Joined May 22, 2016 Posts 353 Reaction score 167 Jun 28, 2016 #1 Askofu mkuu wa kanisa la ufufuo na uzima anasakkwa na jeshi la polisi sana ili akatoe maelezo ambayo jeshi hilo lina yahitaji mara baada ya sauti iyosambaa katika mitandao ya jamii ikizungumzia mambo kadha wa kadhaa ambayo inadhaiwa kuwa ni yake.
Askofu mkuu wa kanisa la ufufuo na uzima anasakkwa na jeshi la polisi sana ili akatoe maelezo ambayo jeshi hilo lina yahitaji mara baada ya sauti iyosambaa katika mitandao ya jamii ikizungumzia mambo kadha wa kadhaa ambayo inadhaiwa kuwa ni yake.
Elungata JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 40,205 Reaction score 33,287 Jun 28, 2016 #2 Mpaka hela zimwishie ndo atarudi,ila kwa starehe za dubai,hamalizi miezi 2,atarudi tu
tamuuuuu JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 21,329 Reaction score 28,063 Jun 28, 2016 #3 Halafu anatafutwa et athibitishe,akisema si yake Ile SAUTI? Tz bwana
Elungata JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 40,205 Reaction score 33,287 Jun 28, 2016 #4 Si wamtrace through manunuzi ya kutumia credit card