Je, Askari Polisi watampata Askofu Gwajima?

Je, Askari Polisi watampata Askofu Gwajima?

OGTV

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2016
Posts
353
Reaction score
167

Askofu mkuu wa kanisa la ufufuo na uzima anasakkwa na jeshi la polisi sana ili akatoe maelezo ambayo jeshi hilo lina yahitaji mara baada ya sauti iyosambaa katika mitandao ya jamii ikizungumzia mambo kadha wa kadhaa ambayo inadhaiwa kuwa ni yake.
 
Mpaka hela zimwishie ndo atarudi,ila kwa starehe za dubai,hamalizi miezi 2,atarudi tu
 
Halafu anatafutwa et athibitishe,akisema si yake Ile SAUTI?
Tz bwana
 
Si wamtrace through manunuzi ya kutumia credit card
 
Back
Top Bottom