Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hili ni swali tu lililotokana na mazingira yanayoonekana , nimechezwa na machale tu , ikumbukwe kwamba Gwajima hakuwahi kuwa MwanaCCM, huyu baadaye alikuja kuwa Mfuasi wa Magufuli kutokana na Makubaliano fulani na sasa Magufuli hayupo na kimsingi yale makubaliano yamekufa kifo cha kawaida.
Kama yupo aliyepata fact yoyote kuhusu ibada ya Jumapili hii hapo UFUFUO NA UZIMA basi atuwekee hapa .
Kama yupo aliyepata fact yoyote kuhusu ibada ya Jumapili hii hapo UFUFUO NA UZIMA basi atuwekee hapa .