Je, Askofu Gwajima kujivua Uanachama wa CCM kanisani?

Je, Askofu Gwajima kujivua Uanachama wa CCM kanisani?

Kwa mbaali naona kuna kasheria kanakuja...
kudhiniti wachungaji kuwa wabunge.....
laa ukiwa mbunge unapaswa kusitisha shughuli za uchungaji.......
 
CcCM wako radhi kuua ili wabaki madarakani milele. Walivyoiba hawawezi kuruhusu mwengine aingie. Kinana tu kwake dollars millions 70 siyo kitu. Kuna wana ccm wana apartments zaidi ya 50 pekee yao tu fikiria. Ni mijizi kupindukia nayatafanya chochote kile yabakie madarakani
Wanasiasa popote pale duniani malengo yao yanafanana utofaut wao ni namna ya kutimiza hayo malengo
 
CCM na Serikali yake inamuogopa sana Askofu Gwajima, wameshanyoosha mikono naye Gwajiboy kaibuka kidedea
 
Hili ni swali tu lililotokana na mazingira yanayoonekana , nimechezwa na machale tu , ikumbukwe kwamba Gwajima hakuwahi kuwa MwanaCCM, huyu baadaye alikuja kuwa Mfuasi wa Magufuli kutokana na Makubaliano fulani na sasa Magufuli hayupo na kimsingi yale makubaliano yamekufa kifo cha kawaida.

Kama yupo aliyepata fact yoyote kuhusu ibada ya Jumapili hii hapo UFUFUO NA UZIMA basi atuwekee hapa .
Makubaliano ya kikabila.
Sukuma GANG
 
Askofu Rashidi alicheza na psychology ya samia.
Na hata sasa hanao uwezo wa kucheza na psychology ya washiriki wake kwenye ibada ya leo
Anyway tungoje yajayo itakuaje.
 
Hizo ni siasa za Bunge tu, Gwajima hawatafanywa chochote.
 
Back
Top Bottom