Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ohoooooo !!!Gwajima hawezi kuachia almost .7 billion za Ubunge.
Kumbe uanaota .andika kuwa naona hivi sio unaandika Kama habari yeñye uhakikaHili ni swali tu lililotokana na mazingira yanayoonekana , nimechezwa na machale tu , ikumbukwe kwamba Gwajima hakuwahi kuwa Mwanaccm , huyu baadaye alikuja kuwa Mfuasi wa Magufuli kutokana na Makubaliano fulani , na sasa Magufuli hayupo na kimsingi yale makubaliano yamekufa kifo cha kawaida .
Kama yupo aliyepata fact yoyote kuhusu ibada ya Jumapili hii hapo UFUFUO NA UZIMA basi atuwekee hapa .
Acheni siasa za matukioHili ni swali tu lililotokana na mazingira yanayoonekana , nimechezwa na machale tu , ikumbukwe kwamba Gwajima hakuwahi kuwa Mwanaccm , huyu baadaye alikuja kuwa Mfuasi wa Magufuli kutokana na Makubaliano fulani , na sasa Magufuli hayupo na kimsingi yale makubaliano yamekufa kifo cha kawaida .
Kama yupo aliyepata fact yoyote kuhusu ibada ya Jumapili hii hapo UFUFUO NA UZIMA basi atuwekee hapa . siasa za
Gwajiboy hawezi kuachia almost .7 billion za Ubunge.
CcCM wako radhi kuua ili wabaki madarakani milele. Walivyoiba hawawezi kuruhusu mwengine aingie. Kinana tu kwake dollars millions 70 siyo kitu. Kuna wana ccm wana apartments zaidi ya 50 pekee yao tu fikiria. Ni mijizi kupindukia nayatafanya chochote kile yabakie madarakaniYule ni mfanyabiashara aliewekeza katika kanisa na bunge, wala sio Askofu. Na wabunge wote wa CCM wapo bungeni kwaajili ya maslahi yao binafsi, sio kwaajili ya wananchi.
Hawezi kujivua ubunge hata kwa mtutu wa bunduki awekewe makalioni.
Kwa ile security bubble ya Rais hata uwe mbishi vipi ukikutana nayo lazima uyumbe..Na Juzi pale kwenye clip ya unachanja hauchanji kanywea anabaki kucheka cheka tu.
Gwajima ni mtu mdogo sana kumpatia nafssi ya kumjadili hapaHili ni swali tu lililotokana na mazingira yanayoonekana , nimechezwa na machale tu , ikumbukwe kwamba Gwajima hakuwahi kuwa Mwanaccm , huyu baadaye alikuja kuwa Mfuasi wa Magufuli kutokana na Makubaliano fulani , na sasa Magufuli hayupo na kimsingi yale makubaliano yamekufa kifo cha kawaida .
Kama yupo aliyepata fact yoyote kuhusu ibada ya Jumapili hii hapo UFUFUO NA UZIMA basi atuwekee hapa .
Kwa kinywa chake aliwahi kutamka kuwa kwa hadhi yake ya uaskofu hawezi kuwa na ushawishi wa kuwa mbungr maana ni kudhalilisha hadhi yakr.Gwajiboy hawezi kuachia almost .7 billion za Ubunge.
Kwa kinywa chake aliwahi kutamka kuwa kwa hadhi yake ya uaskofu hawezi kuwa na ushawishi wa kuwa mbungr maana ni kudhalilisha hadhi yakr.
Zina Kodi?Gwajiboy hawezi kuachia almost .7 billion za Ubunge.
Wasi wasi wa bure. Gwajima anahitaji CCM kuliko inavyomhitaji hasa ikizingatiwa kuwa ni tapeli wa kawaida anayetafuta ulaji na umaarufuHili ni swali tu lililotokana na mazingira yanayoonekana , nimechezwa na machale tu , ikumbukwe kwamba Gwajima hakuwahi kuwa Mwanaccm , huyu baadaye alikuja kuwa Mfuasi wa Magufuli kutokana na Makubaliano fulani , na sasa Magufuli hayupo na kimsingi yale makubaliano yamekufa kifo cha kawaida .
Kama yupo aliyepata fact yoyote kuhusu ibada ya Jumapili hii hapo UFUFUO NA UZIMA basi atuwekee hapa .
Kwan unakosali wewe hakuna kutoa sadaka na michango? Au kwa vile hela inakusavywa na Padri au mchungaji ndo unadhani haipokelewi na watu! Mtu kazi yako kukashifu watu ongelea hoja sio kashifa!Wasi wasi wa bure. Gwajima anahitaji CCM kuliko inavyomhitaji hasa ikizingatiwa kuwa ni tapeli wa kawaida anayetafuta ulaji na umaarufu