Je, Askofu Gwajima kujivua Uanachama wa CCM kanisani?

Ngoja tusubiri na tuone atakuja na lipi lakini Bado no mtu firm ndani ya ccm kimsimamo na wanalijua Hilo.
 
Pumbavu utapelutapeli kwan unakosali wewe hakuna kutoa sadaka na michango? Au kwa vile hela inakusavywa na Padri au mchungaji ndo unadhani haipokelewi na watu! Mtu kazi yako kukashifu watu ongelea hoja sio kashifa!
Umejibu kwa hasira hadi umeandika ujinga!
 
Badala muwe busy kuangalia jinsi gani mnakinasua chama chenu kwenye umauti nyie mpo busy kufuatilia ishu za wanaume wa CCM
 
Pumbavu utapelutapeli kwan unakosali wewe hakuna kutoa sadaka na michango? Au kwa vile hela inakusavywa na Padri au mchungaji ndo unadhani haipokelewi na watu! Mtu kazi yako kukashifu watu ongelea hoja sio kashifa!
Nenda Mirembe hapa siyo sehemu ya watu kama wewe juha nkubwa na senzi kabisa. Mshenge mkubwa we
 
Muulize gwajima maana hayo uliyo ota yako kichwani kwake
 
miafrica kwa roho mbaya ndo zenu.huyo kinana kaiba lkn si yuko Bongo? Ni muafrica mwenzenu.
Hizo apartment zimejengwa ulaya?
Kwani wao hawana mishahara??
Hata km kaiba na chama kinaenda shida iko wapi? Roho mbaya zitawaua.....mnapenda kuona wenzenu wanateseka....km nyie fursa zooote hizi bado hamidhiki mbwa sana nyie. Wavhezeeni hao hao!!!
 
Sidhani kama ana ujasiri huo...
 
Kwa kinywa chake aliwahi kutamka kuwa kwa hadhi yake ya uaskofu hawezi kuwa na ushawishi wa kuwa mbungr maana ni kudhalilisha hadhi yakr.
yeye siyo chuma....alisema lkn sasa hajasema ivo.. kulingana na alivoona kuna umuhimuwa kujitolea kusaidia mataga ya sirikalini.kwani kosa liko wapi?? Gwajima wa leo siyo gwajima wa jana... Hivi umesoma kweli.???
 
Ktk vitu vilivyopoteza mvuto kwa wananchi kimoja wapo Ni bunge la Tanzania.
 
Itapendeza akisepa kabla ya kufukuzwa by the way hakuna anayemuhitaji huko ccm.
 
Na hiyo ofisi ya chama aliyoijenga mwenyewe sijui magwe nini huko ili kuwa ya chama gani vile na aliijenga akiiwa kama nani
 
Gwajima hawezi kuachia almost .7 billion za Ubunge.
Ila gwajima ni tajiri nafikiri ubunge kwake ni pesa ndogo Sana . Anamiliki Hummer gari very expensive
 
Ubunge kwake ni kama passport ya kumkingia kifua kumuepusha na mkono wa chuma...

Hivi yupo mbunge tu anaandamwa hivyo, je akikosa hizo kinga za kibunge si atakuwa askofu wa wagungwa Segedansi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…