Je, Askofu Gwajima kujivua Uanachama wa CCM kanisani?

Kwa mbaali naona kuna kasheria kanakuja...
kudhiniti wachungaji kuwa wabunge.....
laa ukiwa mbunge unapaswa kusitisha shughuli za uchungaji.......
 
Wanasiasa popote pale duniani malengo yao yanafanana utofaut wao ni namna ya kutimiza hayo malengo
 
CCM na Serikali yake inamuogopa sana Askofu Gwajima, wameshanyoosha mikono naye Gwajiboy kaibuka kidedea
 
Makubaliano ya kikabila.
Sukuma GANG
 
Askofu Rashidi alicheza na psychology ya samia.
Na hata sasa hanao uwezo wa kucheza na psychology ya washiriki wake kwenye ibada ya leo
Anyway tungoje yajayo itakuaje.
 
Hizo ni siasa za Bunge tu, Gwajima hawatafanywa chochote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…