Je, Assad alikuwa anamzungumzia Kabudi kwenye Watu waliopewa madaraka na kubadilika fikra?

Je, Assad alikuwa anamzungumzia Kabudi kwenye Watu waliopewa madaraka na kubadilika fikra?

Mzee yuko vizuri sana! Tatizo lenu BAVICHA kila aliyewajibika vyema kwa Magu mnamchafua kwa vimaneno vyenu vya kijinga. Hajawahi kumuita Magu Mungu, alikosea lakini alirekebisha palepale. Mlivyo wachimvi mkakata clip ili kuondoa marekebisho yake!
 
Wapo wengi hata Mzee wa mitihani ya darasa la saba ulikuwa unafanyaje? Alile kakooo
 
Huyu nilimuondolea hadhi kuanzia kwenye ile kesi ya Mgombea binafsi, aliitwa kama Amicus curiae, aliharibu Sana. Pale ndipo nilipomuondolea hadhi niliyokuwa nikimpa miaka yote.

Rest in peace Prf. Mwaikyusa, in that case your subscribed in abundance.
 
Wale ni ruba😂
Sio ruba Mkuu! Vidimbwi ninavyosea ni vidimbwi vinavyotokea barabarani baada ya kunyesha, miaka hiyo ndio nilikua naona, sikuhizi sioni.. Yaani kile kidimbwi unakuta kinakaa labda wiki Moja kinakauka! Nazungumzia kwa Dar lakini, mikoani sijui ..
 
Back
Top Bottom