Je, asubuhi yako inapambwa na kifungua kinywa kipi? Mimi lazima ninywe Alkasusus mujarabu

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Wakuu kifungua kinywa Ni kitu muhimu Sana Je unapendelea kifungua kinywa gani

Kwa sisi watu wa Pwani lazima tutangulize kiburudisho Adimu kinaitwa Alikasusu Mujarabu.

nb wale ambao kwa bahati mbaya hamjawai kufika hapa Dsm au Zanzibar Jambiani , Tunaomba kuelekea mwisho wa mwaka mtume majina yenu ili tuwachangie maana mnapitwa na Mengi.

 
KWANI KUNA UBAYA ASUBUH NIKILA CHAPATI NA BIA
 
Ninyi huwa mnakula senene na "uji muraini"!
 
Wewe ndio muuzaji Nini OSTAZI JUMA na msoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…