Wakuu nina rafiki yangu nimemeliza nae kidata cha nne 2012 ila yeye kapiga div four ya 27 na katika kuchagua michepuo ya kwanza kaanza pcb na ya pili cbg na katika masomo hayo jamaa kascore phy d, geo d, bio c na chem c je kunauwezano mkubwa wa kuchukuliwa kwenda advance selection zikitoka ili jamaa ajipange na msuli wa advance?
nawasilisha wakuu
nawasilisha wakuu