Je! atachaguliwa kwenda advance mwaka huu

Je! atachaguliwa kwenda advance mwaka huu

Sheko

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2013
Posts
280
Reaction score
26
Wakuu nina rafiki yangu nimemeliza nae kidata cha nne 2012 ila yeye kapiga div four ya 27 na katika kuchagua michepuo ya kwanza kaanza pcb na ya pili cbg na katika masomo hayo jamaa kascore phy d, geo d, bio c na chem c je kunauwezano mkubwa wa kuchukuliwa kwenda advance selection zikitoka ili jamaa ajipange na msuli wa advance?
nawasilisha wakuu
 
Ka sio uongo atapigaje c2 afu awe na 27
ngoja nikuwekee result zake zote
hist f
civ f
math f
eng f
islamic d
geo d
kis d
phy d
bio c
chem c
haya piga hesabu hapo
 
Uyo afanye mchkato wa vyuo vya afya tu maana baraza hawaeleweki
 
Mkuu kwa matokeo haya ni div 4 pts 28,si 27.

hapana mkuu,ni div4.27!
Amepata D nne hivyo 4*4=16
amepata C mbili,hivyo 3*2=6
chukua na F moja ili kupata jumla ya masomo 7 yanayojenga divishen,F=5,
jumlisha 16+6+5 utapata 27!

Kimsingi,km watafuata utaratibu wa siku zote huyo kijana hawez kusoma advance sio kuchaguliwa tu lakin hata private school hawez kusoma kwasababu hajatimiza credits3 km muongozo unavyosema!!

Ila kuna tetesi kua huenda wakapunguza sifa za kuingia fom5 kwa mwaka huu,km watapunguza hizo sifa huenda akaweza kusoma fom5,kwa utaratibu wa sasa hawez na namshauri aende colej yeyote!
 
TruE kijana great thinker
 
Huyo akachunge ng'ombe tu,hawezi kuchaguliwa.
 
Mkuu kwa matokeo haya ni div 4 pts 28,si 27.

c = 3 ana c 2 = 6
d = 4 ana d 4 = 16
f = 5 ana f 4. ili kupata daraja huchukuliwa masomo saba uliyofanya vizuri hivyo watachukua c 2 + d 4 + f 1 = 3 +16 + 5 = 27.
 
c = 3 ana c 2 = 6
d = 4 ana d 4 = 16
f = 5 ana f 4. ili kupata daraja huchukuliwa masomo saba uliyofanya vizuri hivyo watachukua c 2 + d 4 + f 1 = 3 +16 + 5 = 27.

mkuu umeenda chaka vibaya yaani C2 jumla yake 6 na sio 3.!
Ni hv C2=6+d4=16+f1=5 kwa hyo 6+16+5=27
 
kwani wameshahakiki upya? Au hayo ni matokeo ya awali
 
mkuu umeenda chaka vibaya yaani C2 jumla yake 6 na sio 3.!
Ni hv C2=6+d4=16+f1=5 kwa hyo 6+16+5=27

ww ndo umeenda chaka kwa kutomuelewa mwenzako,amesema C =3 anamaanisha alama C inathamani sawa na 3,hivyo kwakua kijana amepata C2 itakua ni sawa na 3*2 ambayo ni sawa na 6

ndio maana hapo chini akasema 6+16+5=27!..sasa alipoenda chaka ni wapi mkuu???
 
samahani wakuu kwa kuingia ktk hii thredi yenu kwa hakika naamini nimefanya makosa...wacha tu nipite!
 
ww ndo umeenda chaka kwa kutomuelewa mwenzako,amesema C =3 anamaanisha alama C inathamani sawa na 3,hivyo kwakua kijana amepata C2 itakua ni sawa na 3*2 ambayo ni sawa na 6

ndio maana hapo chini akasema 6+16+5=27!..sasa alipoenda chaka ni wapi mkuu???

Mkuu angalia pale mwisho kaandka 3+16+5 ambayo jumla yake 24 ye kaandka 27 ndo hapo kaenda chaka mkuu..
 
Back
Top Bottom