ngoja nikuwekee result zake zoteKa sio uongo atapigaje c2 afu awe na 27
Ka sio uongo atapigaje c2 afu awe na 27
ngoja nikuwekee result zake zote
hist f
civ f
math f
eng f
islamic d
geo d
kis d
phy d
bio c
chem c
haya piga hesabu hapo
Mkuu kwa matokeo haya ni div 4 pts 28,si 27.
hapana mkuu,ni div4.27!
Amepata D nne hivyo 4*4=16
amepata C mbili,hivyo 3*2=6
chukua na F moja ili kupata jumla ya masomo 7 yanayojenga divishen,F=5,
jumlisha 16+6+5 utapata 27!
Kimsingi,km watafuata utaratibu wa siku zote huyo kijana hawez kusoma advance sio kuchaguliwa tu lakin hata private school hawez kusoma kwasababu hajatimiza credits3 km muongozo unavyosema!!
Ila kuna tetesi kua huenda wakapunguza sifa za kuingia fom5 kwa mwaka huu,km watapunguza hizo sifa huenda akaweza kusoma fom5,kwa utaratibu wa sasa hawez na namshauri aende colej yeyote!
TruE kijana great thinker
Mkuu kwa matokeo haya ni div 4 pts 28,si 27.
c = 3 ana c 2 = 6
d = 4 ana d 4 = 16
f = 5 ana f 4. ili kupata daraja huchukuliwa masomo saba uliyofanya vizuri hivyo watachukua c 2 + d 4 + f 1 = 3 +16 + 5 = 27.
Ka sio uongo atapigaje c2 afu awe na 27
mkuu umeenda chaka vibaya yaani C2 jumla yake 6 na sio 3.!
Ni hv C2=6+d4=16+f1=5 kwa hyo 6+16+5=27
ww ndo umeenda chaka kwa kutomuelewa mwenzako,amesema C =3 anamaanisha alama C inathamani sawa na 3,hivyo kwakua kijana amepata C2 itakua ni sawa na 3*2 ambayo ni sawa na 6
ndio maana hapo chini akasema 6+16+5=27!..sasa alipoenda chaka ni wapi mkuu???