Je, atatokea mwenye kuumiza zaidi Watanzania kuliko mwendazake?

Je, atatokea mwenye kuumiza zaidi Watanzania kuliko mwendazake?

Kizazi hiki kitapita,atakuja mwingine miaka 30 ijayo but Mungu atoruhusu atamzima kama alivyomzima sokoine na jiwe.Mungu apendi watz waonewe ongoza vyema uishi miaka mingi kama JK na Mwinyi.Usipambane na watu huwezi washinda Pambana na maendeleo na sio watu.
Ukiwa mtawala huwezi ukawashinda freemason, wachawi, matajiri, mabeberu,wakuu wa dunia,wasomi,nk.Njia pekee ya kuwashinda watu ni kutenda haki.
Ukitimiza watu ni lzm watakumaliza tu.
😅😅😅
 

Hata Member ameongea ukweli mtupu, anasema ukiwa CCM huwezi kujua ukweli wa Mambo anafananisha na "kulogwa". Alipofukuzwa CCM na kujiunga upinzani ndipo alipogundua kwamba kuna umuhimu mkubwa wa kufanya vetting ikiwemo uraia wa viongozi maana anasema kuna tabia unaziona unajiuliza huyu mbona anabehave kama sio mtanzania? Anasema wapinzani wanazo data mpaka alipozaliwa mtu Ila ukiwa CCM huwezi kujua.

So kama tutaendelea kuweka viongozi kwa ushabiki wa vyama pekee bila kuangalia maslahi mapana ya nchi basi uwezekano wa kupata mtu hatari zaidi upo mkubwa sana angalia nchi ya Rwanda inavyoingiza watu wake kwenye system yetu same as Burundi na Uganda.
 
Kama huna la maana la kuandika pita kushoto badala ya kuonyesha ujuha wako hadharani. Ningekuwa mpiga dili ningeunga mkono mapambio ili nisake TEUZI.

Wapiga dili wote mlinyooshwa SA hivi mnaota mbawa
 
Uzalendo FEKI wa kuiba trilions za walipa kodi, kubambikia kesi, kupora mali za Watanzania, kufanya yasiyo na tija kwa Watanzania, wizi, ufisadi, ubadhirifu na mauaji ya Watanzania huo si Uzalendo na UKABURU unaojenga chuki za kutisha nchini. TISS yenyewe sasa hivi ni uozo mwanzo mwisho baada ya dhalimu mwendazake kuwaingiza makada wa maccm ambao hawakuwa na qualifications zozote zile za kuajiriwa TISS.

Kuumiza ni relative term awamu ya 4 na membe akiwa waziri aliuliwa Daudi Mwangosi, Alitekwa Ulimboka na kuteswa kupewa kilema, Alitekwa Mwandishi Kubanda, Aliuliwa Mawazo, Bomu la Arusha, Stakishari polisi walivamia na kuuliwa na kuporwa silaha. Mahojiano ya Jamhuri na Membe yanaleta picha ama hofu?, ama shauku?, ama hisia kuwa kifo cha Magafulo si cha kawaida? na viongozi wastaafu kwa kadri walivowahi kushutumiwa basi wamehusika kula njama?, kupanga, kushawishi, kuchora, kushawishi? hatimae Magafulo kafa?, hata muktadha wa Uraia Je,unamlenga Magafulo,? Membe alikuwa moja ya mawaziri nyeti wa Rais Mstaafu Kikwete na waandamizi mawaziri/viongozi wengine je hapa anamaanisha vetting ipi? ya kiti cha urais?na umakamu rais ? Au yupi hasa anamaanisha katika serikali? Waliokuwa wanampa siri za serikali hizo siri zingine awamu ya 4 hakuwa na fursa 2015 kuzijua?

Membe at 67 bado ana nguvu inabidi awe makini kwenye maandalizi ya kuongea, kufikiri, kuchanganua na kutathimini flow ya maongezi na kuchagua je ukimya wa baadhi ya vitu atapata faida na hasara gani, na akisema vivo hivo faida na hasara vikoje kipi bora?

.Credibility
.Integrity
.Being responsible
.Political Maturity
.Integrated and coordinated critical mind.

NB: yawezekana Autonomy ya TIS na ushauri vinapuuzwa kwa hio anatumika kama kisemeo kuwasilisha makwazo ya TIS kutozingatiwa kwa ushauri, maoni, mapendekezo? Au vyombo vingine vya ushauri mfano Uhamiaji? etc. Je, profile ya mtu ndani ya CCM inampa mtu hati miliki ya CCM,Tanzania, ulaji keki ya nchi? Ipo haja ya maelezo zaidi kuikana au kufifisha hoja ya ubaguzi.

Lakini hili lina platform i guess kwa hio watafute namna bora.

Inaogopesha ya kwamba yawezekana rais wa awamu ya 5 hakuwa salama hasa kwa vyombo nyeti vya usalama kuota mizizi na utiii kwa waandamizi wa awamu tangulizi. Iweje Membe apewe Siri?nani mvujishaji?kwa nini?ili iweje?

Hili ni funzo kwa rais ajaye, aina ya uzalendo, utii, viapo, vyetu kiusalama kama taifa na raia.

Hii dhana ya ufuasi na umakundi hasa kwa rejea ya mtazamo wa Dr.Bashiru na Mtazamo ama hoja ya Membe kuhusu uteuzi ndani ya ccm na serikali inahitaji mjadala ili kuwa na pespective ya kitaifa kuhusu hili. Mhanga wa hili anaanza Magafulo mwenyewe.

A small fish as a leader in a big pond with big and deep rooted elites.

Am worried if Membe says so what this has to do with us critically thinking of TIS and state mashineries?

Do we need a supreme organ above the president?who?contistute who?how? Selection parameters of supreme organ members!term limits or permanency! Enclosed and protected from external forces and personal interests!

Its good as a triger or a provocative thinking /opinion to clearly open up a natioal dialogue kama taifa tuko salama or we are heading for replica demise of the then Republic of Zaire?

Do we implicitly suggest for classes of citizenships? I would accept and vote yes, thats me and i can explain bdfore anyone. I wasnt personally happy with Magafulo visit to Rwanda assuming office, dont ask me why its for state interest. It sounded like treason to me given the situation at the time.

Nevertheless state first, country first, nation first, No betray no traitor is immune to anything.

Pamoja na kuwa na observations zangu nashukuru sana ndugu membe kwa maudhui yote kwa ujumla.

La mwisho si kwa umuhimu Ndugu Membe kwa umri bado unayosifa ya kuomba ridhaa ya kuwa Rais wa Tz, Mungu akusaidie sana, wote tuna madhaifu. Uzalendo wako kwa taifa nimeupenda. Its either now or we suffer for the next 40 years, (... ........,2020).

Tanzania is above all including my life.

Uzalendo ndio Utaifa. Utaifa bila Uzalendo ni zero.
 
Kama huna la maana la kuandika pita kushoto badala ya kuonyesha ujuha wako hadharani. Ningekuwa mpiga dili ningeunga mkono mapambio ili nisake TEUZI.
Tyiping error,nilimanisha walinyoshwa badala ya mlinyooshwa ,,Kwa hili samahani .it is a mistake
 
Uzalendo FEKI wa kuiba trilions za walipa kodi, kubambikia kesi, kupora mali za Watanzania, kufanya yasiyo na tija kwa Watanzania, wizi, ufisadi, ubadhirifu na mauaji ya Watanzania huo si Uzalendo na UKABURU unaojenga chuki za kutisha nchini. TISS yenyewe sasa hivi ni uozo mwanzo mwisho baada ya dhalimu mwendazake kuwaingiza makada wa maccm ambao hawakuwa na qualifications zozote zile za kuajiriwa TISS.
Makada i heard it was before 2015 majorly those green guards utopolos
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Mnamchukulia poa wa sasa, sisi machinga tumeshaumizwa hatuvimbi tena mtaani☹️
Kila mtu atajitoa kwenye shimo lake, mliingilia maeneo msiyotakiwa acha wawapige tuu labda mtapata akili mlikuwa kero na wachafuzi wa mazingira 🤣
 

Kama watanzania ni unaowazungumzia ni wale
  • wakwepa kodi
  • Wenye vyeti feki
  • Mafisadi
  • Majambazi wanaoshirikiana na mabeberu
  • Wezi wa mali za uma
  • Vibaka kama wale wa kibiti
  • Wanaotumia rasilimali za uma kwa manufaa binafsi
Basi niku hakikishie huyo yupo tena ni mkali zaidi ya JPM. Keep watching na hatoficha mlengo wa siasa zake utamtambua kwa maneno na vitendo vyake. Amini kwa hakika nchi itarudi kwa wananchi kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu.
 
Hao wananchi wenyewe walikuwa na uwezo wa kuzisikiliza? Nguo za kuvaa tu walikuwa hawana.

Nyerere aliongoza ktk maIngira magumu sana huku asilimia 80% ya watanzania wote wakiwa hawajui kusoma wala kuandika.

Wadanganye wapumbavu...
Nyerere alipewa nchi watu wanavaa vizuri.
Aliharibu mwenyewe...
Chini ya indirect rule ya waingereza tayari watu walikuwa na uelewa..
Waingereza walikuwa Hadi na gazeti la Kiswahili linaitwa Mkulima...
Vyama vingi
NGO..
Uchaguzi kila baada ya miaka mitano..


Nyerere alikuja kufuta vyote kwa visingizio vya uongo kama hiko ulichoandika
 
Kiukweli hakuna Rais bora kama Magufuli, kwa aliyoyafanya ndani ya nchi hii kwa muda mfupi yaliwafurahisha na kutugusa wananchi wengi sana

Enzi za Jakaya Serikali yake ilikuwa ikisumbuliwa na skendo za ufisadi kama escrow, Richmond, Epa, Dowans, pesa/chenji ya radar, etc, ujambazi wa kuteka magari kuiba benki kuvamia vituo vya polisi, ugaidi kibiti, watumishi hewa na vyeti feki, udumavu sekta ya Afya, ufisadi uliotamalaki kila sekta kuanzia wizarani mpaka kwenye Govt agencies kama Nssf, nhc, pssf, nida, tanesco etc na mengine mengi mengi
Na haya madhaifu ya Jakaya ndio ulikuwa mtaji mkuu wa Chadema na wapinzani wengine

Sasa mlitaka MAGUFULI aliyoingia madarakani afanye nini,,,,!????

Na siku zote huwezi kupendwa na kila mtu hata uwe Mungu, ukitenda haki basi waovu watakuchukia, Ukiziba mianya ya wizi na ufisadi basi wale mafisadi watakutangazia ubaya kila kona,
Magufuli alipendwa na walio wengi na ndio maana wananchi wengi sana walimlilia ktk msiba wake

Ama kwa hakika ndani ya muda mfupi tumeona kazi iliyotukuka ya uongozi wa awamu ya Tano

Mwenyezi Mungu ampe pumziko la amani JPM
Kipimo cha usafi wa Mamlaka katika nyakat za leo. Ni mamlaka hyo kupatikana kwa uchaguzi huru na uwepo wa vyombo vnavyoweza kuanika uozo ndani ya mfumo huo.Kushawishi watu kuwa fulani alipga hatua kwenye lile ama hili huku ukiwa umeshuhudia Uchaguzi wa Kijambazi kabsa..kwsnn hakutaka chalenge?kuna mambo aliyaharibu sana. Na kama hamuamini Chikueni hoja ya Nape ifanyieni kazi. Tuone kilichoko ndani!!Mumekalia kusfia uozo!!
 
Wadanganye wapumbavu...
Nyerere alipewa nchi watu wanavaa vizuri.
Aliharibu mwenyewe...
Chini ya indirect rule ya waingereza tayari watu walikuwa na uelewa..
Waingereza walikuwa Hadi na gazeti la Kiswahili linaitwa Mkulima...
Vyama vingi
NGO..
Uchaguzi kila baada ya miaka mitano..


Nyerere alikuja kufuta vyote kwa visingizio vya uongo kama hiko ulichoandika
hehehee
 
Kama watanzania ni unaowazungumzia ni wale
  • wakwepa kodi
  • Wenye vyeti feki
  • Mafisadi
  • Majambazi wanaoshirikiana na mabeberu
  • Wezi wa mali za uma
  • Vibaka kama wale wa kibiti
  • Wanaotumia rasilimali za uma kwa manufaa binafsi
Basi niku hakikishie huyo yupo tena ni mkali zaidi ya JPM. Keep watching na hatoficha mlengo wa siasa zake utamtambua kwa maneno na vitendo vyake. Amini kwa hakika nchi itarudi kwa wananchi kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu.
Wezi wakubwa nyie Wekeni mahesabu ya kodi zetu kwenye meza kwanza
 
Kupinga maovu ndani ya nchi ni wajibu wa raia wote wenye kujitambua bila ya kujali aliyefanyiwa maovu anakuhusu au LA na si wajibu waliotendewa maovu peke yao.
~~~~~~~~~~~~~~~~

Gambo: Ulikuwa uporaji shughuli ya kufunga maduka ya kubadilisha fedha za kigeni​

Tuesday June 15 2021​

Mbunge wa Arusha Mjini (CCM), Mrisho Gambo amesema shughuli ya kufunga maduka ya kubadilishia fedha za kigeni iliyofanyika nchini takribani miwili iliyopita, ilikuwa ni uporaji wa kuumiza watu.



By Habel Chidawali
More by this Author

IN SUMMARY​

  • Mbunge wa Arusha Mjini (CCM), Mrisho Gambo amesema shughuli ya kufunga maduka ya kubadilishia fedha za kigeni iliyofanyika nchini takribani miwili iliyopita, ilikuwa ni uporaji wa kuumiza watu.


Advertisement
Dodoma. Mbunge wa Arusha Mjini (CCM), Mrisho Gambo amesema shughuli ya kufunga maduka ya kubadilishia fedha za kigeni iliyofanyika nchini takribani miwili iliyopita, ilikuwa ni uporaji wa kuumiza watu.
Akizungumza jana Jumatatu Juni 14, 2021 bungeni mjini Dodoma katika mjadala wa bajeti kuu ya Serikali, Gambo amedai mchakato huo ulikuwa kama nia ya baadhi ya watumishi wa Serikali kutaka wafanye wao biashara hiyo.
Novemba 20, 2018 maduka zaidi ya 20 yalifungwa jijini Arusha baada ya ukaguzi uliofanywa na maofisa wa Serikali wakishirikiana na vyombo vingine vya dola.
Aprili, 2021 Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Florens Luoga alisema kati ya maduka ya kubadilishia fedha za kigeni 87 yaliyofanyiwa ukaguzi jijini Dar es Salaam, 82 yalikutwa na viashiria vya utakatishaji wa fedha.
Katika maelezo yake, Gambo ambaye amewahi kuwa mkuu wa Mkoa Arusha amedai Serikali ilikuwa ikipandisha viwango vya mitaji kwa lengo la kutaka wafanyabiashara washindwe lakini walipoendelea kufanya biashara zao waliona hakuna namna zaidi ya kuvamia.
"Mlichukua fedha zao, magari, viwanja vyao na mali nyingine watu wakabaki hawana kitu hivi lengo la Serikali ilikuwa nini," amesema Gambo.
Gambo amezungumzia pia sekta ya Utalii akisema imeachwa kabisa bila kuwekewa mkakati katika bajeti jambo ambalo ni hatari kwa uchumi wa nchi.
Amesema Wizara ya Maliasili na Utalii imeshindwa kubuni mbinu ya kuvutia ili kuongeza watalii badala yake imefikiria kuongeza tozo inayoweza kusababisha watalii kupungua nchini.
"Hii bajeti imeacha kabisa kutaja sekta ya utalii, wenzetu wanafikiria kuvutia watalii sisi tunawaza kuongeza tozo, mnawaza nini nyie," amehoji Gambo.
Ametolea mfano wa kupungua kwa watalii kwamba kumesababisha baadhi ya wawekezaji kupunguza gharama kwenye mahoteli yao kutoka Dola 200 za Marekani hadi Dola 100.
Siasa hizo. Ndio maana nimekuambia tusimame huku na huku na watu wahojiwe sababu. Watanzania wengi wana ujinga mwingi.
 
Tukusanyike mkapa basi tuulizwe walioumizwa wakae upande wao na ambao hawajaumizwa wakae huku tuone. Kisha walioumizwa waseme kwa nini waliumizwa kama wana guts hizo.
Hawa watu ni wapumbavu sana mkuu
 
Back
Top Bottom