Je, atatokea mwenye kuumiza zaidi Watanzania kuliko mwendazake?

😅😅😅
 
Hata Member ameongea ukweli mtupu, anasema ukiwa CCM huwezi kujua ukweli wa Mambo anafananisha na "kulogwa". Alipofukuzwa CCM na kujiunga upinzani ndipo alipogundua kwamba kuna umuhimu mkubwa wa kufanya vetting ikiwemo uraia wa viongozi maana anasema kuna tabia unaziona unajiuliza huyu mbona anabehave kama sio mtanzania? Anasema wapinzani wanazo data mpaka alipozaliwa mtu Ila ukiwa CCM huwezi kujua.

So kama tutaendelea kuweka viongozi kwa ushabiki wa vyama pekee bila kuangalia maslahi mapana ya nchi basi uwezekano wa kupata mtu hatari zaidi upo mkubwa sana angalia nchi ya Rwanda inavyoingiza watu wake kwenye system yetu same as Burundi na Uganda.
 
Kama huna la maana la kuandika pita kushoto badala ya kuonyesha ujuha wako hadharani. Ningekuwa mpiga dili ningeunga mkono mapambio ili nisake TEUZI.

Wapiga dili wote mlinyooshwa SA hivi mnaota mbawa
 
Uzalendo FEKI wa kuiba trilions za walipa kodi, kubambikia kesi, kupora mali za Watanzania, kufanya yasiyo na tija kwa Watanzania, wizi, ufisadi, ubadhirifu na mauaji ya Watanzania huo si Uzalendo na UKABURU unaojenga chuki za kutisha nchini. TISS yenyewe sasa hivi ni uozo mwanzo mwisho baada ya dhalimu mwendazake kuwaingiza makada wa maccm ambao hawakuwa na qualifications zozote zile za kuajiriwa TISS.

 
Kama huna la maana la kuandika pita kushoto badala ya kuonyesha ujuha wako hadharani. Ningekuwa mpiga dili ningeunga mkono mapambio ili nisake TEUZI.
Tyiping error,nilimanisha walinyoshwa badala ya mlinyooshwa ,,Kwa hili samahani .it is a mistake
 
Makada i heard it was before 2015 majorly those green guards utopolos
 
Reactions: BAK
Mnamchukulia poa wa sasa, sisi machinga tumeshaumizwa hatuvimbi tena mtaani☹️
Kila mtu atajitoa kwenye shimo lake, mliingilia maeneo msiyotakiwa acha wawapige tuu labda mtapata akili mlikuwa kero na wachafuzi wa mazingira 🤣
 
Kama watanzania ni unaowazungumzia ni wale
  • wakwepa kodi
  • Wenye vyeti feki
  • Mafisadi
  • Majambazi wanaoshirikiana na mabeberu
  • Wezi wa mali za uma
  • Vibaka kama wale wa kibiti
  • Wanaotumia rasilimali za uma kwa manufaa binafsi
Basi niku hakikishie huyo yupo tena ni mkali zaidi ya JPM. Keep watching na hatoficha mlengo wa siasa zake utamtambua kwa maneno na vitendo vyake. Amini kwa hakika nchi itarudi kwa wananchi kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu.
 
Hao wananchi wenyewe walikuwa na uwezo wa kuzisikiliza? Nguo za kuvaa tu walikuwa hawana.

Nyerere aliongoza ktk maIngira magumu sana huku asilimia 80% ya watanzania wote wakiwa hawajui kusoma wala kuandika.

Wadanganye wapumbavu...
Nyerere alipewa nchi watu wanavaa vizuri.
Aliharibu mwenyewe...
Chini ya indirect rule ya waingereza tayari watu walikuwa na uelewa..
Waingereza walikuwa Hadi na gazeti la Kiswahili linaitwa Mkulima...
Vyama vingi
NGO..
Uchaguzi kila baada ya miaka mitano..


Nyerere alikuja kufuta vyote kwa visingizio vya uongo kama hiko ulichoandika
 
Kipimo cha usafi wa Mamlaka katika nyakat za leo. Ni mamlaka hyo kupatikana kwa uchaguzi huru na uwepo wa vyombo vnavyoweza kuanika uozo ndani ya mfumo huo.Kushawishi watu kuwa fulani alipga hatua kwenye lile ama hili huku ukiwa umeshuhudia Uchaguzi wa Kijambazi kabsa..kwsnn hakutaka chalenge?kuna mambo aliyaharibu sana. Na kama hamuamini Chikueni hoja ya Nape ifanyieni kazi. Tuone kilichoko ndani!!Mumekalia kusfia uozo!!
 
hehehee
 
Wezi wakubwa nyie Wekeni mahesabu ya kodi zetu kwenye meza kwanza
 
Siasa hizo. Ndio maana nimekuambia tusimame huku na huku na watu wahojiwe sababu. Watanzania wengi wana ujinga mwingi.
 
Tukusanyike mkapa basi tuulizwe walioumizwa wakae upande wao na ambao hawajaumizwa wakae huku tuone. Kisha walioumizwa waseme kwa nini waliumizwa kama wana guts hizo.
Hawa watu ni wapumbavu sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…