Je Atletico atapindua matokeo?

Je Atletico atapindua matokeo?

Hao real Madrid huwa ni wachumba mbele ya Bianconeri.

Tangu wambahatishe kwenye fainali ya 1998 hawajawahi tena kumsumbua juve kwenye uefa.

Hilo usiwe na shaka kijana kombe linaenda Turin hakuna back to back victory hiyo wasahau.
Mlisema hivyo hivyo kwa atletico!!
 
Mlisema hivyo hivyo kwa atletico!!
Mimi sio miongoni mwa watu waliotegemea ATM kumtoa real Madrid msimu huu, ATM wa msimu huu ni tofauti kabisa na wa msimu jana hawako aggressive, hawana set-pace, flanks wao hawana overlapping iliyo makini,hawana defensiviness iliyotukuka.... Yaani kwa kifupi msimu huu wame flop ukilinganisha na mwaka jana kwa hiyo ilikuwa ni ngumu sana kuiondoa real madrid ambayo iko fully bloodied energetic na consistent.

Tukizungumzia Juventus niliona tangu awali lazima watamtoa barcelona, juventus kwa hii miaka miwili wame imarika, wanacheza kwa umakini mkubwa na nidhamu ya hali ya juu kabisa. Ukitazama vasertile approach yao kwa kila mchezo na inavyo wasaidia sioni sababu ya wao kushindwa kuchukua ubingwa kwa sababu hata real Madrid hana tofauti yoyote na timu zilizotolewa na Juventus.

FORZA BIANCONERI
 
Juventus wapo vizuri sana kwanzia kwenye ulinzi, hadi kwenye viungo ila wanatatizo moja; huwa wanauwezo mkubwa sana wa kutengeneza nafasi za magoli lakini kule mbele umakini unakosekana wa kuzitumia nafasi hizo. Laiti kama wangekuwa wanatumia nafasi vizuri wangekuwa wanapata makapu ya kutosha ya magoli. Ila kwa ulinzi na viungo nawaaminia sana.
 
Ulinzi timilifu usioruhusu wapinzani kupata nafasi ya magoli ndio msingi mkuu wa uimara wa timu na pia ndio siri ya mafanikio kufika hapo walipo.

Sehemu ya kiungo imejaza watu wa kazi japo sio kama nyuma, ila majukumu bado ni Yale yale ya kuwanyima wapinzani chance ya kutengeneza magoli(catenacio).... kiuongo sharit lazima awe ana kaba hata kama ni mchezeshaji.

Kiufupi ni kwamba approach ya mchezo dhidi ya timu yoyote ile ni kuzuia mpinzani asipate fursa ya kufunga goli, na siku zote timu yoyote inayojua kuzuia isifungwe inakuwa na guarantee ya ushindi sababu wana uhakika wa kudroo, na kwa kufanya hivi hata magoli yenyewe yanakuja tu automatically sababu mtu yeyote anaweza akafunga baada ya nyie wapinzani kujisahau na kushambulia sana si unaona hata barca walifungwa na kiungo pamoja na beki!?

Forward ya Juve ni butu kulinganisha na real lakini kwa aina ya uchezaji wa Juve itakuwa ni mwiba siku hiyo sijui kama umenielewa vizuri hapa. Ngoja tusubiri tuone
 
Ilifanya nini?
Na yenyewe pia ilitaka kuweka record kama ya real Madrid kwa kuwa timu ya kwanza Ku......!

Na yenyewe pia ilikuwa tishio kwa timu zote za ulaya huku ikiwa na mchezaji bora wa dunia huyu huyu Ronaldo tena akiwa akamatiki kuliko hata sasa hivi.

Na yenyewe pia ilikuwa inaongelewa hivi hivi kwamba lazima itetee ubingwa na mpinzani wake alionekana dhaifu.

Na yenyewe pia ilikuwa imejiandaa vya kutosha kuhakikisha kuwa inatetea ubingwa wa UCL iliyouchukua mwaka 2008.

Lakini kilichotokea fainali game iliisha dakika ya 9 na baada ya hapo tukaanza kuhesabu pasi utafikiri wakina eto'o walikuwa mazoezini. yaani fainali ilikuwa tofauti na matarajio ya wengi.

Sasa hata wewe na kwambia kwenye fainali ya mwaka huu tegemea kisichotegemeka kuanzia sasa.
 
Mkuu Lizarazu,Man u,hana uzoefu kama ilionao Madrid ,imebeba kombe hilo mara 11 man u mara 3 tuu.Man u wakati ule ukimuondoa Ronaldo haikuwa na wachezaji wa kariba ya Madrid ya leo,nambie Isco,Modric wanafanana na nani kwenye kikosi cha man u wakati ule? Marcelo,Ramos,Pepe,Benzema nani utawalinganisha nao? Ukweli kwamba history ya kulitetea haipo yaweza kuwa chachu ya wao kufanya kweli.Man u pia alicheza na Berselona ya wakati ule siyo juve hii,kumbuka soka la italia ndo kwanza linajijenga upya toka kwenye tope walilojipaka,sioni namna ambavyo pale Cardif Juve ataifunga timu kali zaidi duniani kwa wakati wote.Zidane was the best player mpka anastaafu,ameichezea juve na madrid na kwenye ukocha ameonesha yuko vizuri,tusubiri tarehe tatu mzimu wa Santiago Bernabou,Valdano,Puskas na wengineo unaiteka dunia na kuiandika upya historia ya 1998.Tusubiri hadi ukweli huu utakapo dhihiri.
 
Ulinzi timilifu usioruhusu wapinzani kupata nafasi ya magoli ndio msingi mkuu wa uimara wa timu na pia ndio siri ya mafanikio kufika hapo walipo.

Sehemu ya kiungo imejaza watu wa kazi japo sio kama nyuma, ila majukumu bado ni Yale yale ya kuwanyima wapinzani chance ya kutengeneza magoli(catenacio).... kiuongo sharit lazima awe ana kaba hata kama ni mchezeshaji.

Kiufupi ni kwamba approach ya mchezo dhidi ya timu yoyote ile ni kuzuia mpinzani asipate fursa ya kufunga goli, na siku zote timu yoyote inayojua kuzuia isifungwe inakuwa na guarantee ya ushindi sababu wana uhakika wa kudroo, na kwa kufanya hivi hata magoli yenyewe yanakuja tu automatically sababu mtu yeyote anaweza akafunga baada ya nyie wapinzani kujisahau na kushambulia sana si unaona hata barca walifungwa na kiungo pamoja na beki!?

Forward ya Juve ni butu kulinganisha na real lakini kwa aina ya uchezaji wa Juve itakuwa ni mwiba siku hiyo sijui kama umenielewa vizuri hapa. Ngoja tusubiri tuone
Kama mshabiki wa rossoneli, nitafurahi sana kombe litue kwenye ardhi ya Italy. Ila mkuu juventus wana tatizo la kukosa magoli ya wazi kabisa, mfano mechi dhidi ya monaco kule Turin. Wanapaswa kulinda na pia kuitumia nafasi za wazi watakazozipata. Kutegemea ulinzi pekee haisaidii kwasababu unaweza kufungwa magoli ya kizembe, mfano mechi ya juventus alivyocheza na atalanta na pia na torino.
 
Back
Top Bottom