Hahahhahhaahh...au ndio jamaa mmoja iv, nilitumiwa pic yake nafanana nae mwili hadi sura Kwa mbali...japo simfaham lkn....!! UsiogpeUsichukulie vibaya
Nina rafiki mmefanana sana miili yenu...anajiita kimtu...nimeona avatar nimekumbuka jina
moja kama sukari nyingine kama asaliKm thukarii eehh...!!??
Hahaa, utanisubiri lakni?Ukiwa tajiri dear ukitaka kuongeza mke Niko hapa
Kama mm tuKumbe na yeye Kama wewe eeh
Bilgates, bilionea mtarajiwa kutoka bongo.. Miaka 7 ijayo... Save the date.
Usichukulie vibaya
Nina rafiki mmefanana sana miili yenu...anajiita kimtu...nimeona avatar nimekumbuka jina
Kimtu? [emoji848][emoji848]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kimtu
Hahahahaaa. Acha pombe Kama mimi
Ukiwa tajiri dear ukitaka kuongeza mke Niko hapa
Cheko la uchochezi hili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Karibu mtoto cheupeWoyooooooooo
Hahahahaha yaaan ni makitu hivinilichoelewa ninaweza nikawa nimetoka nje ya mada kabisaaaaa [emoji23][emoji23]
ila kama sio mwanaume basi ni kiungo chake [emoji23]
Cheko la uchochezi hili
Hata shunie unakaribishwa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nazidi kucheka
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]......Ila kimwli Chang kweli kidogo, kimtu Kwa mbaliCheko la uchochezi hili
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]......Ila kimwli Chang kweli kidogo, kimtu Kwa mbali
Ila yey post yake nimesoma amesema kapenda tu avatar yake....mi nilijua yey nilitaka niingie PM...maana kweny avatar yake ndio ugonjwa Wang[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata shunie unakaribishwa.
Ila yey post yake nimesoma amesema kapenda tu avatar yake....mi nilijua yey nilitaka niingie PM...maana kweny avatar yake ndio ugonjwa Wang[emoji23][emoji23]