Je, Avatar yako hapa JamiiForums ina maana gani?

Je, Avatar yako hapa JamiiForums ina maana gani?

Yangu inaonyesha ni kwa namna gani bei za tumbaku kwa Tanzania ziko chini ikilinganishwa na soko la dunia and final products (cigarettes) ambapo kwa cigarettes mbili kuuzwa 500 na katika 1kg unaweza kupata zaidi ya 400,000 Tzs kwa idadi ya cigarettes zinazoweza kupatikana ili hali 1kg ya tumbaku kuuzwa 0.1 -3 usd.
Hii inaonyesha ni kwa kiasi gani nchi inashindwa kutumia fursa hiyo ya kuwa na kiwanda cha utengenezaji wa cigarettes na kuuza as internal final products badala ya kutegemea importation
 
Back
Top Bottom