Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,705
- 30,041
Atakuwa bwashee wa mchongoHata mi nimeshangaa🤔
Atakuwa bwashee wa mchongoHata mi nimeshangaa🤔
Sema nae kwa uongo namuaminia sana!Atakuwa bwashee wa mchongo
mdogo tena hahahaha nishatoka jumuiyaasante kwa kunielewa mdogo wangu mzuri 😍
kwani sio mdogo😅😅,,,, eh na ratiba ya leo imekaajemdogo tena hahahaha nishatoka jumuiya
kwani mie ni mdogo jamni😅Unapenda ukubwa 😁
We gen Z kutuita sisi wadogo zako unatokosea heshima 😎kwani mie ni mdogo jamni😅
nipo kibaruani madam leo sijajua jioni ikiingia ntajua hapohapokwani sio mdogo😅😅,,,, eh na ratiba ya leo imekaaje
loh ila watu😅,, ujue nauwezo wa kutao laana na ikashika kabisa😂We gen Z kutuita sisi wadogo zako unatokosea heshima 😎
oooh haya sawaa,, kibarua chema, mikono yako isirudi mitupu kama ilivyo toka,, Mungu aipe chochote kitu🙏nipo kibaruani madam leo sijajua jioni ikiingia ntajua hapohapo
kwa watoto wenzio sio sisi wahenga 😏loh ila watu😅,, ujue nauwezo wa kutao laana na ikashika kabisa😂
mi mwenyew ni muhenga prooo max,, nimekutumia nida yangu ili uache kuniona mdogo wako🤗kwa watoto wenzio sio sisi wahenga 😏
Siamini hii itakuwa umefoji, nilikuwepo kipindi unazaliwa 😁mi mwenyew ni muhenga prooo max,, nimekutumia nida yangu ili uache kuniona mdogo wako🤗
ukanibeba kabisa si ndio?😂😂😂 muone kwanza,, nakuzidi mbalii hebu tulia hapSiamini hii itakuwa umefoji, nilikuwepo kipindi unazaliwa 😁
AMEEN IKAWE KHERYoooh haya sawaa,, kibarua chema, mikono yako isirudi mitupu kama ilivyo toka,, Mungu aipe chochote kitu🙏
ITabid upunguze mkali sasa
Tupo wengi ila lazima nimiliki bm hata kwa mwezi tuNazipenda BMW, umasikini tu.
usiache kunipa liftTupo wengi ila lazima nimiliki bm hata kwa mwezi tu