TheGreatest Of AllTime
JF-Expert Member
- Mar 14, 2025
- 207
- 679
😁😁uwezo wa kuona yasiyo onekana kwa namba ya kawaida akili ya tatu katika kuona vya gizani
Unanitisha mkuu
😁😁uwezo wa kuona yasiyo onekana kwa namba ya kawaida akili ya tatu katika kuona vya gizani
ITabid upunguze mkali sasapicha yangu mwenyewe nlikua nmetoka kuliwa kwene kamar nkaamua niingie mtoni kutoa mawenge
UMASIKINI SIO POSSESION, UMASIKINI NI MENTALLITY.Handle ndio nini na unataka ujue maana ili iweje ?
"They got money for wars but cant feed the poor"Picha na jina vinajieleza...
SureOne of the best movies ever made aisee lakini pia muigizaji ni generational pia🤝
Rasi kama rasi🤣🤣Jack sparrow ,kipindi nikiwa na rasta nikizibana na kitambaa wana walinifaninisha na Jack, hivyo kwa I'd hii nikapata wazo la kuweka hiyo picha
Wenye uzi wao wameanza kutiririka kama maji! Sisi wengine tumeachwa njia panda.Handle ndio nini na unataka ujue maana ili iweje ?
One of the best series kuwahi kutokea , kile kipande ambacho mwamba anaenda kununua car wash ambayo alikuwapo mfanyakazi aisee palinipa motivation kubwa sana na ilinisaidi hadi hii leo.Nilitaka ku recreate stori ya Heisenberg. Life sucks sometimes. 😪
YAh time is an illusion 😁😁Inaelezea Muda the past na the future vipo pamoja na jamaa yupo in the present, nimeipenda kwa kuwa inaonyesha kuwa past na future vyote vipo kwa pamoja badala ya kuwa kitu kilichopita
Are u a fan of mobutu?Maharage
Bwashee hii gari naipenda pia ila ninazo zipenda kwa mazingira ya milimani huko nyumbani inabidi nivunge tuNazipenda BMW, umasikini tu.
Keap ya head up"They got money for wars but cant feed the poor"