Je, Avatar yako hapa JamiiForums ina maana gani?

Je, Avatar yako hapa JamiiForums ina maana gani?

Yangu nimeiweka kwa dhumuni la kumuathili kisaikolojia ninaye mpinga hoja, nikimpinga then akiiona avatar yangu ana imagine kama ninamng'ong'a furani vile.
Kumuathili[emoji777][emoji777]
Kumuathiri[emoji818][emoji736]

Furani[emoji777][emoji777]
Fulani[emoji736][emoji818]
 
Back
Top Bottom