BrainOs
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 326
- 549
😂😂Wewe si ulikuwaga na beem vee ukaikimbia kumbe bado unapendaNazipenda BMW, umasikini tu.
😂😂Wewe si ulikuwaga na beem vee ukaikimbia kumbe bado unapendaNazipenda BMW, umasikini tu.
Ushaa julikana sasa watu wataunga dots ni jamaa gani alikuwa akiitwa britanica na shule gani lazima wakujue tuuBritanicca jina nilipewa Shuleni zamani sana maana kila updates za Dunia nilikuwa nazo ,Lakin pia Picha ya hapo kwa handle yangu watu Walisema nafikiri kama yeye
Britanicca
siku wazo likijirudia naomba kuwa Jesse Pinkman 😳Nilitaka ku recreate stori ya Heisenberg. Life sucks sometimes. 😪
pinkman ni boya 😁 chagua tu mwinginesiku wazo likijirudia naomba kuwa Jesse Pinkman 😳
Mi namkubali sana dogo 😆pinkman ni boya 😁 chagua tu mwingine
Sio jack sparrow muite captain jack sparrowJack sparrow ,kipindi nikiwa na rasta nikizibana na kitambaa wana walinifaninisha na Jack, hivyo kwa I'd hii nikapata wazo la kuweka hiyo picha
Yeah nakubali , naona kama naweza mzidi 😃Sio jack sparrow muite captain jack sparrow
mwamba ana mambo mengi yule!
Em tuanze na ww 😎
Yako inavutia zaidi unajua eeh😍Em tuanze na ww 😎
Huyo jamaa avatar yake inatisha mnoo,
Sema akyamungu 😎Yako inavutia zaidi unajua eeh😍
Kama katoka kufumaniwa🤣Huyo jamaa avatar yake inatisha mnoo,
Aki..Sema akyamungu 😎