Je, Avatar yako hapa JamiiForums ina maana gani?

Je, Avatar yako hapa JamiiForums ina maana gani?

Huyu ni Donald Glover. Ni muandishi, mchekeshaji, muigizaji, mwanamuziki na director.

Hakutaka kuishi kwenye misingi ya watu, alifanya kile kinachoitikia moyoni. Kila alipokuwa akiruka kutoka career moja kwenda nyingine, watu walimuita mshamba. Sasa ana Grammy 5 na Emmy 2.

1. Hakuna mtu mshamba, kwasababu hakuna ajuaye yote duniani.

2. Sio kila sheria maishani lazima ifuatwe.
Nilimjua donald tanguu akijiita gambino, ni the best kwakweli
 
ko tunafanyaje sasa? Kiwashe kwenye gesi kavipi!
20260505_163350.jpg
 
Back
Top Bottom