Je, Awamu ya 4 ibebe Lawama kwa mambo ya muungano yaliyoondolewa kinyemela na kupewa Zanzibar? Karibu tujadili kwa facts

Hapa ilifaa kuwa na serikali moja tu inayotawala Bara na visiwani
 
Kwa kifupi tu, Zanzibar ioneshwe mlango wa kutokea kabla haijajitoa yenyewe kijeuri, maana ina hamu sana ya kusimama yenyewe kama taifa huru. Ya Nyerere yakiwatokea watajuta wenyewe huko na visiwa vyao
Zanzibar ilishajiandaa Musa mrefu kujisimamia yenyewe. Ina sheria zake, mahakama, majeshi yake, bendera, Huku Kuna TRA kule Kuna ZRA, nk
 
Zanzibar ilishajiandaa Musa mrefu kujisimamia yenyewe. Ina sheria zake, mahakama, majeshi yake, bendera, Huku Kuna TRA kule Kuna ZRA, nk
Na wanaendelea kujizatiti wawe na mambo yote halafu aje atokee mtu wa kusema muungano basi. Uanachama wa mashirika ya kimataifa wanautaka sana tu, OIC, FIFA bado wanalilia wapewe uanachama. Ni suala la muda tu Zanzibar ndio itavunja muungano kijeuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…