Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,211
- 3,611
Licha ya kupendelea kusambaza umeme kwa 27000 bado kasi ya wizara iko chini sana!Enzi ya Dr. Kalemani tuliingiza umeme kwa Tshs.27,000/, sasa hivi enzi ya Makamba tunaingiza umeme kwa Tshs.300K je, serikali ya awamu ya sita kwa viwango hivi itamaliza kusambaza nishati hii adhimu ya umeme kwa vijiji na vitongoji vyote by 2024?
Wakati wa bei ya Tshs. 27,000 JPM alikuwa anakusanya kodi kidogo sana ukilinganisha na makusanyo ya Samia ambaye enzi yake hii kuingiza umeme ni Tshs.300K, ghali kuliko ya JPM. Uchumi huu unakuwaje?
Mkuu, leo ikisambazwa kwa 300,000 kasi ya wizara itakuwa kubwa?Licha ya kupendelea kusambaza umeme kwa 27000 bado kasi ya wizara iko chini sana!
Shivji alisema haamini katika kuwapa Wafanyabiashara bodi ya Tanesco, kwasababu chakula cha familia hakitafika chote mezani toka jikoni.Jibu ni Zero Hakuna Kitakacho fanyika
Kwani kitongoji sio sehemu ya kijiji?Enzi ya Dr. Kalemani tuliingiza umeme kwa Tshs.27,000/, sasa hivi enzi ya Makamba tunaingiza umeme kwa Tshs.3K je, serikali ya awamu ya sita kwa viwango hivi itamaliza kusambaza nishati hii adhimu ya umeme kwa vijiji na vitongoji vyote by 2024?
Wakati wa bei ya Tshs. 27,000 JPM alikuwa anakusanya kodi kidogo sana ukilinganisha na makusanyo ya Samia ambaye enzi yake hii kuingiza umeme ni Tshs.3K, ghali kuliko ya JPM. Uchumi huu unakuwaje?
Hii 300,000 ya Makamba naamini REA inakwama na wafanyakazi wajipange kupunguzwa, natamani Kalemani na Makamba wangeitwa kwenye kipindi cha Edwin Odemba Medani za Siasa Star TV au ITV Malumbano ya Hoja. Hivi hakuna Mbunge hata mmoja kati 365... ambaye anaweza akamuuliza PM hili swali kwenye Bungeni?Sio 3k ni 300k+, mwendazake aliwai kusema hii nchi ni tajiri na kweli tukaona kwa vitendo nchi nzima hakuna sehemu ujenzi umesimama ata hili la umeme wa 27000 lilikuwa linawezekana na wengi tuu tuliunganishiwa kwa bei hiyo sababu zile story za nguzo tunaagiza kutoka south africa hazikuwepo tena nguzo tukawa tunavuna mufindi nk.
Mpango ulianza na vijiji kwanza ndipo wanahamia kwenye vitongoji.
Kwenye biashara yoyote kuna bei ya promotion. Na wanasemaga " the offer is valid whilst stock lasts". In any case tusingeweza kuendelea na connection fee ya TZs 27,000 hata kama Hayati angekuwepo hai. The only thing ni kwamba ilitakiwa ipande taratibu..... mfano ingeweza kwenda TZs 54,000 , kisha 81,000 baada ya mwaka na kuendela hivyo. Ongezeko la asilimia 91 kwa wakati mmoja ni kubwa jamaniEnzi ya Dr. Kalemani tuliingiza umeme kwa Tshs.27,000/, sasa hivi enzi ya Makamba tunaingiza umeme kwa Tshs.300K je, serikali ya awamu ya sita kwa viwango hivi itamaliza kusambaza nishati hii adhimu ya umeme kwa vijiji na vitongoji vyote by 2024?
Wakati wa bei ya Tshs. 27,000 JPM alikuwa anakusanya kodi kidogo sana ukilinganisha na makusanyo ya Samia ambaye enzi yake hii kuingiza umeme ni Tshs.300K, ghali kuliko ya JPM. Uchumi huu unakuwaje?
Mkuu,Kwenye biashara yoyote kuna bei ya promotion. Na wanasemaga " the offer is valid whilst stock lasts". In any case tusingeweza kuendelea na connection fee ya TZs 27,000 hata kama Hayati angekuwepo hai. The only thing ni kwamba ilitakiwa ipande taratibu..... mfano ingeweza kwenda TZs 54,000 , kisha 81,000 baada ya mwaka na kuendela hivyo. Ongezeko la asilimia 91 kwa wakati mmoja ni kubwa jamani
Kwa umeme huu wa Mgao usio rasmi kila siku na kupungua nguvu kama Mshumaa, ni bora 300,000/- Niikimbize kwa Kampuni za SolaKwa umeme huu unaokatikakatika nafikiri hata kuzimu wanaweza ukataa..😂
Mimi ndivyo nimefanya Mkuu baada ya kuambiwa kuwa ninaishi kwenye kitongoji na awamu ya vitongoji haizafikiwa, hivyo nitoe Tshs.300K kama nataka nihudumiwe. Hivi sasa sina bili ya kununua sola kama ilivyo kwa umeme.Kwa umeme huu wa Mgao usio rasmi kila siku na kupungua nguvu kama Mshumaa, ni bora 300,000/- Niikimbize kwa Kampuni za Sola
Nilijuwa Makamba ndiko alikokuwa akilenga.Kwa umeme huu wa Mgao usio rasmi kila siku na kupungua nguvu kama Mshumaa, ni bora 300,000/- Niikimbize kwa Kampuni za Sola
Nachelea hata kama tukianza uzalishaji JNHEPP huenda gharama za umeme zisipungue kama tulivyokuwa tunaimbiwa ngonjera za umeme nafuu.Connection ni zaidi ya Tshs.300K, soma hii:
But, the public notice says electricity connectivity to single phase customers 30 metres away from power infrastructures would be Sh320,960.
“Connection charges for customers whose buildings are located at 70 and 120 metres from electricity infrastructures will stand at Sh515,618 and Sh696,670 respectively,” reads Tanesco’s public notice.
However, the costs for the three-phase connection at a distance of 30; 70 and 120 metres would be Sh912,014; Sh1,249,385 and Sh1,639,156 respectively.
The notice issued by Tanesco, says that all charges were Value Added Tax (VAT) inclusive.
However, the GN No 1020 shows that the costs with VAT exclusive to single phase clients residing at a distance of 30, 70, 120 metres from places with power infrastructures would be Sh272,000; Sh436,964 and Sh590,398 respectively.
Mnyonge wa kule Kijijini ana chake hapo? Itabidi auze mbuzi wote apate nuru lakini akaribishe umaskini baada ya kuuza mifugo yote. Nadhani sera iangaliwe upya.
Tanesco announces restoration of connectivity charges
The Tanzania Electric Supply Company Limited (Tanesco) has on Wednesday, January 05, 2022, announced restoration of power connectivity charges for urban customers.www.thecitizen.co.tz