Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,211
- 3,611
- Thread starter
- #21
Kama JNHEPP itashindikana kumalizika (White elephant project) huenda tukarudia ile mikataba ya kinyonyaji ya makampuni ya kuzalisha umeme na kuuzia Tanesco.Nilijuwa Makamba ndiko alikokuwa akilenga.
JPM aliacha Tanesco ambayo haipewi ruzuku lakini ilipambana hadi kujiendesha yenyewe kwa asilimia 100, operations zote hadi mishahara na bado hawakupunguza wafanyakazi. Walizalisha nguzo za kukaa miaka 100 (walikuwa proactive a century ahead). Magufuli alipowasaidia Tanesco kujisimamia ni pale alipowaondoa kwenye mikataba ya kinyonyaji.