Je, awamu ya 6 ya Jamhuru ya Muungano ya Tanzania itapeleka umeme kwenye vitongoji?

Kama JNHEPP itashindikana kumalizika (White elephant project) huenda tukarudia ile mikataba ya kinyonyaji ya makampuni ya kuzalisha umeme na kuuzia Tanesco.
 
Wawekezaji wameongezeka, mapato yamepaa tangu nchi izaliwe Samia ametenda miujiza ,ajabu Sasa gharama za maisha ndio zimepaa kuliko kawaida...
Nchi hii tulimkosea Nini Mungu jamani.
 
Awamu ya 6 inaanza 2025 na itategemea ILANI yake

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…