Je, baada ya James Rugemalira wa IPTL kuachiwa huru, nini hatma ya majizi waliotajwa bungeni na Mh. Tundu Lissu?

Achana na hayo matakataka yaliyototolewa kwenye mikesha ya mwenge, hakuna wanachojua kuhusu udhalimu wa chama hicvho na hasara walioipa nchi yetu Tanzania. CCM ni chuo kinachozalisha viongozi kama Mkapa, Kiwete pamoja na huyo dhalimu mwenda kuzimu aliyelambwa na corona.

Kila kiongozi mpya ni wa hovyo kuliko aliyetangulia na hakuna siku kiongozi bora atatoka CCM. CCM ilishalaanika na siku Watanzania tutakapozinduka kutoka huu usingizi wa porno na kujitambua CCM itakufa kifo cha mende. Nasema na kurudia kuwa adui mkubwa wa taifa hili ni CCM, period.
 
Wale wote ambao walikuwa wanasema tumepigwa na Ruge walishindwa kwenda kusaidia Republic kwenye hii tena wakati wa JPM. Wamebaki kujificha kwenye kinga ya ubunge. They should be taken to task. Siasa na njaa zao zimeharibu maisha ya watu wengi and they don't have the guts to come out to apologize.
 
Tundu Lissu siyo consience ya Taifa.
Anayo mengi ambayo hayajui.
 

Serikali inapokuwa mshirika muhimu wa dili hakuna funzo wala yatokanayo. Mkuu wa wakati ule alihitimisha hilo saga: β€œhizo pesa sio za serikali; ni za wafanyabiashara husika”.

Aliyeamua akina Rugemalira wakamatwe na kuwekwa ndani huku akijua kuwa hana namna ya kuwashtaki mahakamani alitenda bila hekima. Labda alipuuza ile busara ya Pinda kuhusu tikisiko linaloweza kutokea mafisadi wakikamatwa bila kujipanga.

Naamini Rugemalira kwa kujua undani na uzito wa dili hilo hawezi kufungua kesi ya madai. Faida aliyopata inatosha. Halafu mwendazake keshaendazake. Si vyema kuanzisha shari upya.
 
Kuongea kiingereza na kichaga unapenda kipi?
 
Tundu lissu ni nani? Yaani kila pumba anazoengea mnameza tu kawashikia akila nyie mateka wake.
 

Relax man. Magufuli kuwa shetani haimfanyi Rugemalira kuwa malaika katika suala hili. Anaujua ukweli wenyewe. The good thing ameshatoka jela. Lissu was speaking from a legal point of view. Let the matter remain buried. Ndio adha ya kutawaliwa na CCM.
 
Tunasafari ndefu kuufikia utawala wa sheria
 
Hapa umedhihirisha akili yako ni finyu. Tunaposema adui wa nchi hi Ni ccm, ndio tunazungumzia ujumla, ikiwa ni pamoja na uliyemtaja & co; pamoja na wewe na wajinga na wanafiki wengine & co. Huwezi kusema ccm sio mbaya, eti ni baadhi ya wanaccm ndio wabaya. Ccm ni mkusanyiko was fisi- walafi, wezi, watesaji, wauwaji nk. Hakuna lugha nzuri zaidi ya kuwataja Hawa. Nyang'au kabisa Hawa. Angalia Samia, polepole, kabundi etc, wabunge la katiba, uwalinganishe na Samia, polepole na kabundi was Sasa!
 
Hata wale mashehe wa uamsho, wasione kuwa kuachiwa kwao ni fadhila. Wana haki ya kushitaki na kudai fidia.
 
😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Tundu Lisu usingekengeuka kwa Dkt Magufuli ulipaswa uwe rais siku moja, lakini ukampokea Lowasa, ukageuka kuanza kutetea wezi
 
Jazba ya nini? Jenga hoja kijana
 
😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Tundu Lisu usingekengeuka kwa Dkt Magufuli ulipaswa uwe rais siku moja, lakini ukampokea Lowasa, ukageuka kuanza kutetea wezi
Mkaona hazuiliki, mkammiminia risasi za kuweza kumwangusha tembo lakini Tundu Lissu akaendelea kusimama na badala yake akaanguka yule dhalimu mwendakuzimu na hivi sasa yuko jehanum anateseka...kweli mchimba kisima huingia mwenyewe!
 

shetani akifa ni sherehe kwa malaika,naona muda wa ngedere kutafuna umewasili.
 
Mkaona hazuiliki, mkammiminia risasi za kuweza kumwangusha tembo lakini Tundu Lissu akaendelea kusimama na badala yake akaanguka yule dhalimu mwendakuzimu na hivi sasa yuko jehanum anateseka...kweli mchimba kisima huingia mwenyewe!
Alimiminiwa risasi na wazungu waliokuwa wanadhani kufanya hivyo kutaleta machafuko. Lissu was an outsider job poorly executed.
 
Rugemalira na wenzake ni majizi tu hakuna cha msalie. Kinachowasaidia ni sheria mbovu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…