Je baada ya Yesu Kristo kuondoka Duniani, Mungu alibadilika na kua 'radical'?

Je baada ya Yesu Kristo kuondoka Duniani, Mungu alibadilika na kua 'radical'?

The Assassin

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2018
Posts
4,942
Reaction score
20,077
Biblia inasema baada ya mpela mpela nyingi Duniani, Mungu aliamua kumtuma Mwanae pekee mwenye uwezo kama yeye aje Duniani kutangazaa neema na ukombozi, kuhubiri amani na upendo, kuasa watu kua wema na watende mema, wasiishi kwa mazoea ya Nabii Musa na mengine, wasilipe baya kwa baya bali walipe jema kwa baya, tuwatendee mema watu kadri nasi tungependa kutendewa, tusihukumiane, tusaidiane na kubebana, msingi mkuu wa mafundisho ya Bwana Yesu Kristo ikawa ni upendo,upendo na upendo, toba, msamaha na mambo kama hayo. Hivyo hivyo na wanafunzi wake wakabaki kusisitiza mafundisho ya mkuu wao, yote ni upendo.

Baada ya Yesu kuondoka na baada ya miaka mingi dini nyingine ikazaliwa huko huko kwao yesu, lakini dini hii ikaja na mafundisho mapya, mafundisho yanayomuonyesha yesu eitha hakutumwa na Mungu na alijitungia mafundisho yake au basi baada ya Yesu Mungu alibadilika na kua radical, alibadilika na kufuta yote aliyoyafundisha mwana wake wa pekee mwenye uweza wa kimungu kama yeye.

Najiuliza hivyo kwa sababu kama kweli dini hii mpya ilitoka kwa Mungu basi Mungu atakua ni kigeugeu, alimgeuka hata mwnaae wa pekee na kumuonyesha kua aliyoyafundisha yote hayakutoka kwake maana dini moya ilikuja na sura mpya ya Mungu, mungu ni katili, muuaji, asie na huruma, akawapa mamlaka watu yoyote atakae mkataa basi auwawe(unajiuliza Mungu anaesemekana ana nguvu na uweza na malaika anashindwaje kumuua mtu anaemkataa yeye mwenyewe hadi akabidhi binadamu).

Watu wa dini, je Mungu alibadilika na kua mwenye msimamo mkali na asie na huruma baada ya Yesu?
 
Jiulize pia inawezekanaje mungu mwenye nguvu za kufanya lolote akamtuma mtoto wake aje afundishe huo upendo, si angewafanya viumbe wakawa na upendo tu bila ya mizunguko ya kumtuma mwanawe wa pekee!!!! Kama huna nia ya kupotosha Inawezekana hizo dini unazozizungumzia huzielewi, ni bora ukazisome kwanza.
 
Hili lianzishie mada mpya lijadiliwe, alafu aliekwambia sijazisoma dini ni nani? Huko kusoma ndio kufanyaje?
 
Back
Top Bottom