abdulhamis
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 1,436
- 2,296
Habar Wana JamiForums,
Kwa mambo yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii ni kuhusu nyimbo ya Ali Kiba Infedere na Mkasa wa Mzee Abdul ila suala la Kiba tuliache kwanza
Nilikuwa napenda kuwauliza wataalam wa sheria kama kuna Uwezekano wowote wa Mzee Abdul kudai kulipwa Fidia kisheria juu ya yeye kumlea mtoto kwa gharama toka amekuwa mdogo Mpaka kakua halafu anaambiwa mtoto sio wake
Sababu Mimi naona ingekuwa poa kama Mzee Abdul angewashtaki ili apate chochote sababu Diamond kafanikiwa kwa sababu ya ukoo wa kina Abdul tofauti na hivyo Diamond na Mama yake ni kama wametumia udanganyifu na kutumia jina la mzee Abdul ili kujipatia kipato na umaarufu hivyo naona ni kama hujuma au nakosea?
Pia naomba Serikal itunge sheria kama itakuwa haipo ili kudhibiti hili suala maana ipo siku watu watauana fikiria umepambana miaka zaidi ya 20 mwisho wa siku unaambiwa mtoto sio wako ni mtoto wa Nyange.
Mimi Binafsi ningependa mzee Abdul asizubae awafungulie kesi wala asimhusishe Diamond ila amshitaki mke wake sababu kama ubaya ubaya tu.