Je, Baba Diamond hawezi kufungua kesi na kudai Fidia?

abdulhamis

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2019
Posts
1,436
Reaction score
2,296
Habar Wana JamiForums,

Kwa mambo yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii ni kuhusu nyimbo ya Ali Kiba Infedere na Mkasa wa Mzee Abdul ila suala la Kiba tuliache kwanza

Nilikuwa napenda kuwauliza wataalam wa sheria kama kuna Uwezekano wowote wa Mzee Abdul kudai kulipwa Fidia kisheria juu ya yeye kumlea mtoto kwa gharama toka amekuwa mdogo Mpaka kakua halafu anaambiwa mtoto sio wake

Sababu Mimi naona ingekuwa poa kama Mzee Abdul angewashtaki ili apate chochote sababu Diamond kafanikiwa kwa sababu ya ukoo wa kina Abdul tofauti na hivyo Diamond na Mama yake ni kama wametumia udanganyifu na kutumia jina la mzee Abdul ili kujipatia kipato na umaarufu hivyo naona ni kama hujuma au nakosea?

Pia naomba Serikal itunge sheria kama itakuwa haipo ili kudhibiti hili suala maana ipo siku watu watauana fikiria umepambana miaka zaidi ya 20 mwisho wa siku unaambiwa mtoto sio wako ni mtoto wa Nyange.

Mimi Binafsi ningependa mzee Abdul asizubae awafungulie kesi wala asimhusishe Diamond ila amshitaki mke wake sababu kama ubaya ubaya tu.
 
Pumzika mwanangu na familia ya Diamond, hapo kesi hamna unajichosha kufungua threads kibao za familia ya Diamond.

Ushauri tu huyo mzee aweke utozi pembembeni na ule mcheni wake shingoni afungie kabatini,akapige kazi ya kumwingizia hela na kumwonesha mama D yeye ni kidume.Kwani yeye hana uzee wakumzuia kufanya kazi,pili ana watoto aliowapatia uzeeni awapambanie wapate ugali na elimu.

Huku kulialia kwenye makamera zaidi ya miaka 8,anajichoresha kwani familia yenyewe haimtaki, yeye apambane kama kweli kaonewa basi malipo hapa hapa na kama kweli yeye ndiye alikosea kutimiza majukumu yake basi anachopitia anastahili.
 
Akamsitaki tu ili kukomesha vimama Malaya kama hivi unatumia fedha kufadhuli mbuzi
 
Tatizo ni Mzee. Tatizo si Nasibu mwenyewe
Mkuu lazima ujue Mwanaharamu hata ukimficha kwenye chupa lazima atachomoza kidole
Ndugu na jamaa walimkanya mzee Abduli kuhusu huyo Nasibu
Haya sasa saa nane mchana jua la utosi kamkana babake
Angekua mtoto wa halali asingefanya hivyo
Hilo ni somo kwa wanaotunza wanaharamu
Siku zote haramu na halali uavikai pamoja
 
Habar Wana JamiForums,

Kwa mambo yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii ni kuhusu nyimbo ya Ali Kiba Infedere na Mkasa wa Mzee Abdul ila suala la Kiba tuliache kwanza

Nilikuwa napenda kuwauliza wataalam wa sheria kama kuna Uwezekano wowote wa Mzee Abdul kudai kulipwa Fidia kisheria juu ya yeye kumlea mtoto kwa gharama toka amekuwa mdogo Mpaka kakua halafu anaambiwa mtoto sio wake

Sababu Mimi naona ingekuwa poa kama Mzee Abdul angewashtaki ili apate chochote sababu Diamond kafanikiwa kwa sababu ya ukoo wa kina Abdul tofauti na hivyo Diamond na Mama yake ni kama wametumia udanganyifu na kutumia jina la mzee Abdul ili kujipatia kipato na umaarufu hivyo naona ni kama hujuma au nakosea?

Pia naomba Serikal itunge sheria kama itakuwa haipo ili kudhibiti hili suala maana ipo siku watu watauana fikiria umepambana miaka zaidi ya 20 mwisho wa siku unaambiwa mtoto sio wako ni mtoto wa Nyange.

Mimi Binafsi ningependa mzee Abdul asizubae awafungulie kesi wala asimhusishe Diamond ila amshitaki mke wake sababu kama ubaya ubaya tu.
Ulikuwepo akiwa anatoa matunzo huyo mzee ni kafiri kabisa hajitambui .
Yeye kazi kuwajaza wanawake mimba na kusepa halafu wakijipiga tafu wao kama wao na mama zao kinyamkera kinajitokeza .
KUNAUSEMI UNASEMA KAMA HUKUWA WAKATI NASOTA BASI KWENYE FURAHA YANGU ASIWEPO.

HUYO MZEE NIKIKUTANA NAYE KIMAKOSA TU NAMPIGA MAKOFI MATATU YANGUVU.

ALITOA SHILLINGI NGAPI KWA DIAMOND KIPINDI ANAUZA MITUMBA AU MZIKI WAKE WA MBAGALA .

ACHENI KUTOA USHAIDI WA UONGO .
MPAKA LEO YUPO NA VIDADA VIDOGO TU WALA HAKUI NENDA YOU TUBE .
 
Naona mnafosi kumtetea mama Malaya kama Kuna sheria ya kumwajibisha baba atoe matumizi kwann isiwepo ya kuwabana wa mama kama Hawa
 
Akafungue kesi aone vile ushahidi wa bi Sandra utakavyomuweka pagumu kwa mara ya pili... na atakua amepata aibu ya kufungua mwaka2021 na aibu ya kufungia mwaka2021 maana hiyo kesi itaisha December😁😁😁

Na hapo ndio atajua kwamba wanawake wanajua kutunza kumbukumbu kiasi gani
 
Ko na wewe umejiita abdulhamis ili upate umaarufu na kipato kwa jina la Abdul? Au we ndo Mzee Abdul mwenyewe!!

Ushauri ni yale maneno uliyasema, ogopa umaskini... basi tafuta hela.
 
Pumzika mwanangu na familia ya Diamond, hapo kesi hamna unajichosha kufungua threads kibao za familia ya Diamond.

Ushauri tu huyo mzee aweke utozi pembembeni na ule mcheni wake shingoni afungie kabatini,akapige kazi ya kumwingizia hela na kumwonesha mama D yeye ni kidume.Kwani yeye hana uzee wakumzuia kufanya kazi,pili ana watoto aliowapatia uzeeni awapambanie wapate ugali na elimu.

Huku kulialia kwenye makamera zaidi ya miaka 8,anajichoresha kwani familia yenyewe haimtaki, yeye apambane kama kweli kaonewa basi malipo hapa hapa na kama kweli yeye ndiye alikosea kutimiza majukumu yake basi anachopitia anastahili.
Pia Yule Mzee sio masikini kiivyo maana ana nyumba Kama tatu dar
 
Habar Wana JamiForums,

Kwa mambo yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii ni kuhusu nyimbo ya Ali Kiba Infedere na Mkasa wa Mzee Abdul ila suala la Kiba tuliache kwanza

Nilikuwa napenda kuwauliza wataalam wa sheria kama kuna Uwezekano wowote wa Mzee Abdul kudai kulipwa Fidia kisheria juu ya yeye kumlea mtoto kwa gharama toka amekuwa mdogo Mpaka kakua halafu anaambiwa mtoto sio wake

Sababu Mimi naona ingekuwa poa kama Mzee Abdul angewashtaki ili apate chochote sababu Diamond kafanikiwa kwa sababu ya ukoo wa kina Abdul tofauti na hivyo Diamond na Mama yake ni kama wametumia udanganyifu na kutumia jina la mzee Abdul ili kujipatia kipato na umaarufu hivyo naona ni kama hujuma au nakosea?

Pia naomba Serikal itunge sheria kama itakuwa haipo ili kudhibiti hili suala maana ipo siku watu watauana fikiria umepambana miaka zaidi ya 20 mwisho wa siku unaambiwa mtoto sio wako ni mtoto wa Nyange.

Mimi Binafsi ningependa mzee Abdul asizubae awafungulie kesi wala asimhusishe Diamond ila amshitaki mke wake sababu kama ubaya ubaya tu.
Tafuta hela achana na hizi ngonjera mkuu
 
Back
Top Bottom