Je, Bado Baadhi ya Wakatoliki Wana Mawazo ya Kale ya Crusade na Kutawala Dunia?

Je, Bado Baadhi ya Wakatoliki Wana Mawazo ya Kale ya Crusade na Kutawala Dunia?

Kwahiyo mapadri wote walipata div one advance?
Ila sisi wengi wetu ni nyumbu..
Kuna padri namjua in and out alipata div 3 advance
View attachment 3502360

KKKT

Pale KKKT ukitaka kuwa Mchungaji sharti la kwanza uwe na wito. Pili, usome kwa bidii hadi form six na ufaulu kwa kiwango cha division 1 au 2. Then uende Chuo Kikuu Makumira au chuo kingine kinachotambuliwa na Kanisa ukasomee shahada ya Theolojia kwa miaka mitano (Bachelor degree in Theology).

Yani unatoka form six na one yako kali unaenda kukaa miaka mitano chuo kikuu kama unasomea udaktari. Ukimaliza unaitwa Mtheolojia. Kisha unaenda mwaka mmoja wa mazoezi (internship). Baadae unaweka nadhiri ya maisha ya kumtumikia Mungu. Kisha unabarikiwa (ordained) kuwa Mchungaji.

Kwahiyo popote unapomuona Mchungaji wa KKKT ujue amepitia njia hizo. Kumbuka wapo wachungaji wa zamani waliosoma Diploma kwa wanaphase out kulingana na taratibu za kila dayosisi.

RC

Kwa wenzetu wa RC ili uwe Padre, kwanza kabisa uwe na wito, pili usome kwa bidii hadi form six na ufaulu kwa kiwango cha division 1 (hakuna Padre mwenye division 2). Ukimaliza uende malezi miaka miwili (Novisi). Huko unaweka nadhiri za muda (temporary vows) za kumtumikia Mungu.

Ukimaliza unaenda kusomea shahada ya kwanza ya Falsafa miaka minne (Bachelor degree in Philosophy). Ukimaliza hapo unakuwa Frateri. Unapewa muda wa kujitafakari kama bado una wito ama lah. Kama bado wito upo unaweka nadhiri za kudumu (perpetual vows).

Baada ya hapo unaenda tena kusoma miaka mitano shahada ya theolojia (Bachelor degree in Theology). Ukimaliza hapo unakuwa Shemasi. Kisha unaingia kwenye muda wa matazamio, then Kanisa likijiridhisha ndipo unapewa daraja takatifu la Upadre.

Ukishakuwa Padre Kanisa linaweza kukutuma kusomea taaluma nyingine ya kutimiza utume wako. So unaweza kutumwa IFM ukasomee Finance utumike kwenye benki za kanisa. Au ukatumwa UDSM kusomea Education utumike kwenye shule za kanisa, au ukaambiwa uende SAUT kusomea Mass Comm ili utumike kwenye media za kanisa.

Kwahiyo ukimuona Padre yeyote ujue ana degree 2 au zaidi. Na ujue form six alipata division 1, na baada ya form six alisoma miaka 9 hadi 12 kupata Upadre. Kwahiyo hakuna Padre mwenye elimu mbalimbali 😂. Ndio maana ukisikia TEC imetoa tamko usikurupuke kujibu. That is the Conclave of Intellectuals.

View attachment 3502361
 
Uzuri TEC wanaongea lugha moja na Wananchi mambo ya Utekaji na Mauaji walikua wanatendewa dini zote Kama Mzee Ally Kibao nyie endeleeni na propaganda za Udini ambazo zitawamaliza nyie wenyewe
 
Uzuri TEC wanaongea lugha moja na Wananchi mambo ya Utekaji na Mauaji walikua wanatendewa dini zote Kama Mzee Ally Kibao nyie endeleeni na propaganda za Udini ambazo zitawamaliza nyie wenyewe
Siyo kweli. Wananchi walienda kupiga kura wakakatwa vidole. Usidhani kwakuwa CCT, BAKWATA, Wasabato na Walokole wamekaa kimya ukadhani unawajibia.

TEC yeye anaogea kwa niaba ya Wakatolic tu, wakatoliki Tanzania hawafikii nusu ya (BAKWATA, CCT, SABATO na Walokole). So acha ujinga
 

Watu waliotumia dini vibaya kwa maslahi yao​

Kama ilivyotokea katika dini nyingi:
  • Viongozi fulani walitumia dini kwa faida binafsi
  • Walijiongeza mamlaka kwa kusema “Mungu ametuamuru”
Watanganyika wameichoka CCM wewe unaleta habari za wakatoliki, huwezi kutubadilisha mawazo tunataka haki na utawala bora sio hawa majambazi
 
Siyo kweli. Wananchi walienda kupiga kura wakakatwa vidole. Usidhani kwakuwa CCT, BAKWATA, Wasabato na Walokole wamekaa kimya ukadhani unawajibia.

TEC yeye anaogea kwa niaba ya Wakatolic tu, wakatoliki Tanzania hawafikii nusu ya (BAKWATA, CCT, SABATO na Walokole). So acha ujinga
Jidanganye hiyo hoja yako ya Udini haiwezekani kutoboa jipange njoo na hoja nyingine wananchi wa leo sio wajinga wakuletewa hoja za udini na watu walioshidwa uchaguzi wamebaki kujiapisha na kua Rais wa vyombo vya dola baada ya Wananchi nyie mnaoleta Udini mnazidi kumuangimiza sisi mtaani tunaishi vizuri bila kubaguana dini zetu hiyo hoja imeshakufa heti kwasababu ya Upumbavu wa mtu mmoja au kikundi cha wahuni ndo mtungombanishe watu ambao mtaani tozo tunakatwa wote utekaji na Mauaji ni kwa watu wote aya nambie mauaji ya October 29 yalikua yanabagua dini? Kwamba hakuna Waislamu ambao walikufa tena wengine walikua wakiandamana Hoja ya Udini itawazika nyie Wenyewe
 
CCM ipo na members 25mil. Unaongelea Watanzania wa wapi? Kwikwikwikwi acha ushamba wewe.
Watu wanachukua kadi za ccm ili wapate ile mikopo ya "rushwa" na wengine ili wanusuru shughuli zao za kiuchumi. Hakuna mtu anaipenda ccm labda wezi wa rasilimali na wala rushwa
 
Watu wanachukua kadi za ccm ili wapate ile mikopo ya "rushwa" na wengine ili wanusuru shughuli zao za kiuchumi. Hakuna mtu anaipenda ccm labda wezi wa rasilimali na wala rushwa
Weka ushahidi wa hilo. Hayo ni mawazo ya watu waliofirisika ki mawazo. Kwikwikwikwikwi
 
Mkuu kwani kwani kwa akili yako ndogo Kuna uhalali wowote wa kumteka au kumuua mtu?
 

Matukio ya Kihistoria Ambayo Kanisa au Wakatoliki Walihusishwa na Ghasia na Mauaji​

(A) Mauaji ya Kimbari Rwanda – 1994​

Hili ndilo tukio la hivi karibuni lenye uzito mkubwa sana.
Ingawa mauaji ya kimbari yalifanywa na serikali ya Rwanda na wanamgambo (Interahamwe na wengine), ni kweli kwamba:
  • Baadhi ya makasisi wa Kikatoliki na watawa walishiriki moja kwa moja
  • Baadhi ya makanisa yalitumika kama maeneo ya mauaji
  • Baadhi ya viongozi wa Kanisa walishirikiana na vikosi vya serikali
Pia historia inaonyesha kwamba:
  • Katika kipindi cha ukoloni, Kanisa kilishiriki bila kukusudia katika kuimarisha tofauti za kikabila kupitia elimu na vitambulisho vya kikabila.
  • Baadhi ya viongozi wa Kanisa walitoa kauli zilizochochea mgawanyiko.
Hata hivyo:
  • Hili halikuwa agizo rasmi la Kanisa Katoliki kama taasisi
  • Waathiriwa wengi wa mauaji pia walikuwa Wakatoliki
  • Vatican imewahi kuomba msamaha kwa nafasi ya Kanisa katika mazingira yaliyowezesha mauaji kutokea.
Tukio hili linaonyesha kiwango cha madhara kinachoweza kutokea pale dini inapochanganywa vibaya na siasa ya kikabila.

Mauaji ya Siku ya Mtakatifu Bartholomew – 1572​

Katika usiku huo wa giza, maelfu ya Waprotestanti wa Ufaransa (Huguenots) waliuawa na wanajeshi pamoja na makundi ya Wakatoliki.
  • Tukio lilipangwa na viongozi wa kifalme wa Ufaransa
  • Ingawa lilikuwa na athari ya kidini, lilikuwa zaidi ya mgogoro wa kisiasa na mamlaka
  • Papa Gregory XIII alitoa baraka za kisiasa na hata kutoa sherehe za ushindi kwa habari hizo—jambo linalochukuliwa leo kama doa la kihistoria

Vita vya Msalaba (Crusades)​

Vita vya Msalaba vilikuwa:
  • Vita vya kidini, kisiasa, na kiuchumi
  • Vimeidhinishwa na maaskofu wakuu na mapapa wa Zama za Kati
  • Vikiwa na lengo kuu: kuirejesha Jerusalem chini ya utawala wa Kikristo
Lakini pia:
  • Zilisababisha mauaji makubwa ya Wayahudi
  • Ziliua Wakristo wa madhehebu tofauti
  • Ziligeuka mara nyingi kuwa vuguvugu la taluma ya kijeshi likichochea uchu wa ardhi
Leo Kanisa Katoliki limekiri kwamba Crusade zilikuwa sehemu ya makosa ya historia ya Kanisa.

Hakuna ushahidi kwamba Papa aliagiza mauaji, lakini furaha yake kwa tukio hilo imebaki kuwa mfano maarufu wa jinsi Kanisa lilivyohusishwa na siasa kali za wakati huo.
Mauaji ya October 29,30....nani aliyatekeleza?
 
Back
Top Bottom