Je, Bado Baadhi ya Wakatoliki Wana Mawazo ya Kale ya Crusade na Kutawala Dunia?

Kwahiyo mapadri wote walipata div one advance?
Ila sisi wengi wetu ni nyumbu..
Kuna padri namjua in and out alipata div 3 advance
 
Uzuri TEC wanaongea lugha moja na Wananchi mambo ya Utekaji na Mauaji walikua wanatendewa dini zote Kama Mzee Ally Kibao nyie endeleeni na propaganda za Udini ambazo zitawamaliza nyie wenyewe
 
Uzuri TEC wanaongea lugha moja na Wananchi mambo ya Utekaji na Mauaji walikua wanatendewa dini zote Kama Mzee Ally Kibao nyie endeleeni na propaganda za Udini ambazo zitawamaliza nyie wenyewe
Siyo kweli. Wananchi walienda kupiga kura wakakatwa vidole. Usidhani kwakuwa CCT, BAKWATA, Wasabato na Walokole wamekaa kimya ukadhani unawajibia.

TEC yeye anaogea kwa niaba ya Wakatolic tu, wakatoliki Tanzania hawafikii nusu ya (BAKWATA, CCT, SABATO na Walokole). So acha ujinga
 

Watu waliotumia dini vibaya kwa maslahi yao​

Kama ilivyotokea katika dini nyingi:
  • Viongozi fulani walitumia dini kwa faida binafsi
  • Walijiongeza mamlaka kwa kusema “Mungu ametuamuru”
Watanganyika wameichoka CCM wewe unaleta habari za wakatoliki, huwezi kutubadilisha mawazo tunataka haki na utawala bora sio hawa majambazi
 
Jidanganye hiyo hoja yako ya Udini haiwezekani kutoboa jipange njoo na hoja nyingine wananchi wa leo sio wajinga wakuletewa hoja za udini na watu walioshidwa uchaguzi wamebaki kujiapisha na kua Rais wa vyombo vya dola baada ya Wananchi nyie mnaoleta Udini mnazidi kumuangimiza sisi mtaani tunaishi vizuri bila kubaguana dini zetu hiyo hoja imeshakufa heti kwasababu ya Upumbavu wa mtu mmoja au kikundi cha wahuni ndo mtungombanishe watu ambao mtaani tozo tunakatwa wote utekaji na Mauaji ni kwa watu wote aya nambie mauaji ya October 29 yalikua yanabagua dini? Kwamba hakuna Waislamu ambao walikufa tena wengine walikua wakiandamana Hoja ya Udini itawazika nyie Wenyewe
 
CCM ipo na members 25mil. Unaongelea Watanzania wa wapi? Kwikwikwikwi acha ushamba wewe.
Watu wanachukua kadi za ccm ili wapate ile mikopo ya "rushwa" na wengine ili wanusuru shughuli zao za kiuchumi. Hakuna mtu anaipenda ccm labda wezi wa rasilimali na wala rushwa
 
Watu wanachukua kadi za ccm ili wapate ile mikopo ya "rushwa" na wengine ili wanusuru shughuli zao za kiuchumi. Hakuna mtu anaipenda ccm labda wezi wa rasilimali na wala rushwa
Weka ushahidi wa hilo. Hayo ni mawazo ya watu waliofirisika ki mawazo. Kwikwikwikwikwi
 
Mkuu kwani kwani kwa akili yako ndogo Kuna uhalali wowote wa kumteka au kumuua mtu?
 
Mauaji ya October 29,30....nani aliyatekeleza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…