Je, Bado Baadhi ya Wakatoliki Wana Mawazo ya Kale ya Crusade na Kutawala Dunia?

Unaheshimika jamvini, achana na hizo propaganda za waprotestant.
Kaka Kitabu cha Ufunuo kinatamka wazi kuwa Joka ni Katoliki

Ufu 12:9​

Yule joka akatupwa, yule mkubwa, nyoka wa zamani, aitwaye Ibilisi na Shetani, audanganyaye ulimwengu wote; akatupwa hata nchi, na malaika zake wakatupwa pamoja naye.

Wakatoliki wameyavagaa sasa. Walikuwa wametulizwa kwa muda. Sasa hivi Mahubiri kwa Walokole, Wasabato na Waprotestanti itakuwa ni Shetani lenye mapembe 12 limeshuka kuuteka ulimwengu waabudu sanamu ambao ni wakatoliki.

Yangu macho nipo paleeeeeee!!!
 
Ukifatilia maisha ya Wakatoliki kuanzia kwa Makasisi mpaka waumini wao; utagundua kwamba: wao wana dunia yao kuanzia kuwaza, kusema na kutenda ni tofauti na wengine.
Sheria huwasimamia, maana upokeaji wa Ekaristi Takatifu ndiyo kipimo ch maisha yao.

Wakatoliki ni watu poa sana. Sio wabinafsi. Hujiombea wao na kuombea wengine.

Mengine ni propaganda tu.
 
Siyo kweli. Waislam ndio wanachinja nyama zote Tanzania. Hebu tuambie, dunia yao wakati wanakula nyama iliyochinjwa na waislam?
 
Hata mimi siwaelewi wakatoliki ila hiyo kuwaita 666, kuwahusisha na freemason nk naona ni kukosa maarifa na uhuru wa kufikiri.

Ni kufungwa kifikra.
 
Tunayo sana na hii nchi itagawanyika kama India na Pakistan
 
Tunayo sana na hii nchi itagawanyika kama India na Pakistan
Haya mawazo ya wakatoliki tu, wakristo wengine hawana mawazo haya. Wakatoliki mtachukua wapi? Maana kaanda ya ziwa, Kaskazini na Kati wapo CCT kanda za Pwani ni Waislam. CCT na Waislam wanamuunga mkono Rais
 
Samia alianza vibaya sana,kuacha blue print ya Magu ambaye alikuwa naye pamoja na kuanza kufuata mawazo ya Kikwete,huyu Kikwete ni incompetent haswa,wakati wa Kikwete CCM ilikuwa ife kifo kibaya sana,isingekuwa atleast ana watu wa kukinusuru kama Magufuli,wangeiba kura kwa kuua watu wengi sana,Samia ajitahidi sana kutengana na Kikwete..namhurumia sana huyu mama ila nakuwa najifunza vitu vingi sana kupitia yeye,mfano alikuwa wa kwanza kiunafiki akiamini ana mnanga Magufuli kwenda kuonana na Mange,kumtukana matusi yote Magufuli waliyekuwa naye kwenye uongozi,kumuita Simba wa Yuda,leo yako wapi leo Africa nzima wanamuita Idd Amini Mama,na jinsi Kikwete alivyo mbana sioni jinsi ya kujinasua,mpaka uso ume mparara mafuta yamegoma kushika,aachane tu na JK ataona mambo yake yatakavyoenda vizuri
 
Weka na vigezo vyakuwa sheikh
 
Wewe ni Katoliki au Protestanti? Waprotestanti tumekubaliana kuwa na Samia
 
#tunatakahakitanzania
Hata katolik wakinyamaza tutapiga kelele tu
 
Haya mawazo ya wakatoliki tu, wakristo wengine hawana mawazo haya. Wakatoliki mtachukua wapi? Maana kaanda ya ziwa, Kaskazini na Kati wapo CCT kanda za Pwani ni Waislam. CCT na Waislam wanamuunga mkono Rais
Walikwambia lini wanamuunga mkono?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…