Je, bado GPA kali ina msaada?

Je, bado GPA kali ina msaada?

Mia saba

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2022
Posts
255
Reaction score
390
Kwa kuangalia sasa hakuna ajira labda kijana asome Sana GPA ije imbebe wakati ushindani Ni mkubwa wakati wa ajira.

Matokeo yake wenye GPA kubwa wakirudi mtaan hana focus tena na wenye GpA 2.0-3.2 ndio wenye makampuni.

Je, bado Kuna haja ya kusoma kea ajili ya GPA Kali 4.5 - 5.0.

Nawasilisha
 
Kwa baadhi ya mambo ina mata sana. Sio yote.
 
GPA ina umuhimu sana japo sio kigezo cha kuweza pata ajira ebu pata picha ushapata kazi alafu idara yako unachagulia ukasome masters unalipiwa na kampuni kila kitu unakuja kukuta gps haisomi kabisa na ukitoka huko unapanda cheo pata picha tu

Tuje kwa suala la ajira makampuni mengi yana kitu kinaitwa recruitment strategy plan kama ushawahi kushuhudia vyuoni yanakuja makampuni kutafuta candidates ili wakawape mafunzo na hatimaye kuja kujipatia ajira fursa ikitokea ila kuna suala la kujitolea hapa utakuwa na senior kwa position husika na kukupa uzoefu wa kazi upoje maana changamoto ya elimu yetu unaweza fundishwa hata 36 ukafika kuvitumia 6 tu
 
Kwa kuangalia sasa hakuna ajira labda kijana asome Sana GPA ije imbebe wakati ushindani Ni mkubwa wakati wa ajira.

Matokeo yake wenye GPA kubwa wakirudi mtaan hana focus tena na wenye GpA 2.0-3.2 ndio wenye makampuni.

Je, bado Kuna haja ya kusoma kea ajili ya GPA Kali 4.5 - 5.0.

Nawasilisha
Inaweza kuwa na msaada na inaweza isiwe na msaada.
 
Niko na GpA ya 3 je naweza pata ajira kweli?, kwenye kampuni au ata serikalini.
Koz niliyosoma kilimo biashara
Kazi tunapata kwa kueleza kiufasaha na sio GPA ndio maana kuna written and oral interview.
Vinginevyo wangechagua tu wenye GPA kubwa wakaajiriwa wenye ndogo wakaachwa.

Tz GPA nyingi zinapatika na kwa uwezo wa kukariri, rushwa ya hela na ngono.
Chache ni uwezo halisi wa muhusika.
 
Kwa kuangalia sasa hakuna ajira labda kijana asome Sana GPA ije imbebe wakati ushindani Ni mkubwa wakati wa ajira.

Matokeo yake wenye GPA kubwa wakirudi mtaan hana focus tena na wenye GpA 2.0-3.2 ndio wenye makampuni.

Je, bado Kuna haja ya kusoma kea ajili ya GPA Kali 4.5 - 5.0.

Nawasilisha
Wale wenye GPA za gentlemeni utawajua tu.
 
GPA is everything.
Pata GPA nzuri na kuwa Competent kweli kwenye field yako, ina msaada mkubwa. Nakumbuka jamaa aliajiriwa akiwa na GPA kubwa na kila mtu alikuwa anashangaa jamaa amepataje kazi kipindi hiki so wakawa wanamuuliza ulipata GPA ya ngapi, akiitaja tu...Wafanya kazi hao wanaanza kujibu, aah ndio maana umepata kazi au umekuja hapa.
Usichanganye kati ya kuwa na GPA kali na kuonesha uwezo wako au juhudi zako katika kitu unachokifanya. Nasimama na Comment ya Bwana instanbul
 
GPA kubwa bado muhimu kwenye maeneo mengi mfn Assistant Lecturer naona vyuo vingi wanachukua GPA 3.8 undergraduate na 4.0 Master's degree
 
Back
Top Bottom