Je, Bado Una Imani na Jason Bourne?

..Je, sasa unamwamini Jason Bourne walau katika hili?
Kwangu mimi yaliyotokea (kurudi/kupona?...kwa Prof na Dr) hayathibitishi wala kukanusha hadithi/conspiracy theory/report ya Jason Bourne. Mpaka hapo tutakapofanikiwa kupata report (ya kweli) ya madaktari waliowafanyia uchunguzi/waliowatibu wawili hawa. Binafsi nimekuwa nachukulia 'reports' zake kwa tahadhari kubwa!
 
NI kweli kuna kipindi kama muda wa wiki moja na ushee hali ya DR ilikuwa mbaya sana. Jamani si Dr ana ndugu zake kibao upande wake na mke, news zilikuwa zinaflow kila siku as if yupo hapo Muhimbili. Ni mapema sana kumhukumu JB, kumbuka Samwel Sitta alipeleka ushahidi wa JB( JF) kuthibitisha DR amepewa sumu. Na kumbukeni Sitta sio mtu mdogo hata akafanya hivyo. Kumbukeni aliposema Mwanahalisi limefika bei, watu walikuja juu sana, lakini wote leo wanakubali SK kafika bei kwa the said ''Mafisadi''
 
Nawe jiulize kwa nini mwandosya hataki tena kuendelea na siasa?
 
Soma hii series kisha uamue mwenyewe!

Hadithi inaanzia hapa:



Ikafuatiwa na…





Nini kikafuata?



Na sasa:



Kiambatanisho



Je, sasa unamwamini Jason Bourne walau katika hili?

Ninachotaka mimi ni kupata habari halafu baadae nachanganya na za kwangu.....
 
Naamini habari zote za Jason Bourne, Siamini Serikali ya kikwete na chama chake cha Ufisadi, never trust that dude and his government







Hekima ni Busara, PAW
Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako!

Kuwa na Busara
 
Sina imani na nyie wote kwa kuwa hakuna aliyeiwakilisha hiyo ripoti hapa tuisasambue kujua ukweli. Mpaka sasa kila kitu ni uvumi tu.
 

Nadhani tungapata hiyo ripoti kutoka India ndio ingeweza kutujuza nini kilijiri na iwe ripoti halisi na wala isiwe ripoti iliyopita mikononi mwa kiongozi yeyote yule wa nchi yetu,itoke moja kwa moja hadi JF la sivyo uchakachuaji ni lazima kuziba ukweli
 
JB,
Usikatishwe tamaa, habari ulizozitoa ziliwafunua macho na masikio watu wengi sana. Ulitoa mahali pa mtu kuanza kuchanganyia akili zake .........................sikiliza ya watu wengine (JB) kisha changanya na akili zako....................................................ndo utajua tatizo la DR
 
Asante kwapamoja tutalikomboa taifa!
 
Theory nyingi hata baada ya kua criticised but bado zimeendelea kutumika mpaka leo kwa kua hata hao walio-criticise wakatoa zao walipata pa kuanzia.
Ni kwamba una mawili, kukubali kilichoko, kama unapinga basi toa cha kwako ambacho unafikiri ndicho cha kweli.
Binafsi riport ya JB bado ina umuhimu kwangu mpaka hapo riport ya madaktari wa India (kama ipo) itakapotoka!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…