Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,005
- 20,425
Niisubiri kutoka kwa nani? mpaka lini?
Sasa unataka uamini lipi? Ripoti yangu au kupinga tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niisubiri kutoka kwa nani? mpaka lini?
Kwangu mimi yaliyotokea (kurudi/kupona?...kwa Prof na Dr) hayathibitishi wala kukanusha hadithi/conspiracy theory/report ya Jason Bourne. Mpaka hapo tutakapofanikiwa kupata report (ya kweli) ya madaktari waliowafanyia uchunguzi/waliowatibu wawili hawa. Binafsi nimekuwa nachukulia 'reports' zake kwa tahadhari kubwa!..Je, sasa unamwamini Jason Bourne walau katika hili?
Jaman LTK ndo nin?
Soma hii series kisha uamue mwenyewe!
Hadithi inaanzia hapa:
Ikafuatiwa na…
Nini kikafuata?
Na sasa:
Kiambatanisho
Je, sasa unamwamini Jason Bourne walau katika hili?
Sina jukumu la 'kuamini'. Endelea kuhangaika na wanaotaka kuamini.Sasa unataka uamini lipi? Ripoti yangu au kupinga tu?
Haaahaa haya bwana!Sina jukumu la 'kuamini'. Endelea kuhangaika na wanaotaka kuamini.
Unataka ripoti ya ma.dr wa India ? tukuulize wewe uliyeenda huko (sijui virtually au fisically).
Imani ni nini?
Imani ni nini?
Ni vigumu sana kuniamini lakini ni rahisi mno kunipinga!
Je ripoti ya madaktari pale india inasomekaje? Je mwakyembe mwenyewe anasemaje? Uhalisia wa hali yake kwa sasa ukoje? Wizara ya afya inasemaje? Serikali yake inasema? Je kila aliyelishwa sumu hufa hata akitibiwa na madaktari bingwa?
Mimi nishatoa ripoti na kwangu mimi itasimama kuwa ndio kauli na ukweli niliouona katika uchunguzi!
Mwenye ripoti ya madaktari wa india aiweke hapa!!
Asante kwapamoja tutalikomboa taifa!JB,
Usikatishwe tamaa, habari ulizozitoa ziliwafunua macho na masikio watu wengi sana. Ulitoa mahali pa mtu kuanza kuchanganyia akili zake .........................sikiliza ya watu wengine (JB) kisha changanya na akili zako....................................................ndo utajua tatizo la DR
fisically = Physically
Sielewi cha kuchekesha hapo...facts haziwezi kuwa substituted na habari zinazotakiwa 'kuaminiwa'. Sjui kaa umensoma.Haaahaa haya bwana!