Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Nadhani Huo Mkataba utafanyiwa variation. Kuna mambo mengi yameshabadilika. Bandari ya Dar es Salaam upanuzi umeshaanza au kukamilika, bandari ya Tanga kuna jambo linaendelea pale.
Kwamba tulikuwa tunauhitaji mradi huo hilo lilikuwa bayana. Tatizo lilikuwa ktk terms and coditions.
Hata Rais Magufuli alizungumzia uhitaji wa kurekebisha terms and conditions kwamba zikienda hivyo zilivyokuwa, maslahi kwetu yangekuwa madogo.
Mimi suala langu kubwa ni our Export Capacity Utilisation, Je, tumeanza kuchukua hatua kuweza kunufaika na bandari hiyo kwa ajili ya exports au itakuwa bandari ya kushushia Imports zaidi?
Lakini pia huenda tukahitaji ujenzi mkubwa wa dedicated Railways na Access and exit roads kwenda na kutoka bandari hiyo, ambazo hazitatumia conventional passages tulizo nazo. Sisi tumejipangaje kuliona na kulitekeleza hilo, hizo ndizo changamoto.
Tusije kujenga a White Elephant Port yenye capacity kubwa ambayo hatutaweza kuifikia kwa muda mrefu ujao.
Bandari ya Dar es Salaam kwa sasa ni ndogo sana kwa ustawi wa Uchumi hasa ukizingatia kuwa tumeshaingia uchumi wa kati, tunatakiwa kwenda juu zaidi. [emoji120][emoji120][emoji120]