Je, baiskeli zinasaidiaje shughuli za siasa?

Dharau tu mbona hao wanaotoa hizo baiskeli wao hawatumii au unawezakuta hawamiliki hata hizo baiskeli (hata watoto wao hawatumii, mwiguli mtoto wake anatembelea vx) na wao wenyewe wanatumia ma vx
 
Mfa maji hutapatapa. Samia ameacha kutumia pesa kuleta maendeleo anatumia pesa kununua baiskeli na pikipiki za kuhonga watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…