Tulsi Gabbard huyu hapa:-Obama yupo kikaangano anasagiwa kunguni.Wamarekani sio CCM lolote linaweza kutokea🤔
........
“No matter how powerful, every person involved in this conspiracy must be investigated and prosecuted to the fullest extent of the law, to ensure nothing like this ever happens again,” Gabbard said. “The American people’s faith and trust in our democratic republic and therefore the future of our nation depends on it.”
Gabbard concluded: “As such, I am providing all documents to the Department of Justice to deliver the accountability that President Trump, his family, and the American people deserve.”
Source: Dailywire
Mimi simpendi Barack Obama kwa vile alitumika na Illuminati kueneza sera za ushoga na kumuua GadaffiObama anashambuliwa Toka Kila upande,sijui Kama atachomoka.Wanataka anyang'anywe passport 🤔
......
View attachment 3412059
MAGA ndio wanamsagia kunguni Obama, wamemfanya bogeyman wao kupotezea ishu ya Epstein.Obama yupo kikaangano anasagiwa kunguni.Wamarekani sio CCM lolote linaweza kutokea🤔
........
“No matter how powerful, every person involved in this conspiracy must be investigated and prosecuted to the fullest extent of the law, to ensure nothing like this ever happens again,” Gabbard said. “The American people’s faith and trust in our democratic republic and therefore the future of our nation depends on it.”
Gabbard concluded: “As such, I am providing all documents to the Department of Justice to deliver the accountability that President Trump, his family, and the American people deserve.”
Source: Dailywire
Illuminati ni nini?Mimi simpendi Barack Obama kwa vile alitumika na Illuminati kueneza sera za ushoga na kumuua Gadaffi
Illuminati ni shirika la siri, ambalo historia yake ilianza karne ya 18, hasa mwaka 1776, katika Bavaria, Ujerumani. Shirika hili lilianzishwa na Adam Weishaupt kwa lengo la kupinga mawazo ya kidini na serikali, na pia kueneza fikra mpya kuhusu uhuru, elimu, na siasa.Illuminati ni nini?
Nani ni kiongozi wake mkuu kwa sasa?Illuminati ni shirika la siri, ambalo historia yake ilianza karne ya 18, hasa mwaka 1776, katika Bavaria, Ujerumani. Shirika hili lilianzishwa na Adam Weishaupt kwa lengo la kupinga mawazo ya kidini na serikali, na pia kueneza fikra mpya kuhusu uhuru, elimu, na siasa.
Hata hivyo, kuna imani nyingi zinazozungumzia Illuminati kuwa linaendelea kuwepo na kuwa na ushawishi mkubwa kwenye siasa na uchumi wa dunia.
1. Familia Zenye Nguvu na Nasaba za KifalmeNani ni kiongozi wake mkuu kwa sasa?
Wewe uelewa wako ni upi ukiachana na hizo za kuokoteza Chatgpt1. Familia Zenye Nguvu na Nasaba za Kifalme
-Rothschilds (nasaba ya mabenki)
-Rockefellers (mafuta na fedha)
-Morgans (mabenki)
-Du Ponts (viwanda)
2. Watu Wenye Us influence Katika Siasa na Biashara
-George Soros (mfadhili, hulengwa mara kwa mara na nadharia za njama)
-Bill Gates (mwanzilishi wa Microsoft, huhusishwa mara kwa mara na nadharia za "New World Order")
-Jeff Bezos (mwanzilishi wa Amazon)
-Elon Musk (Tesla, SpaceX)
3. Watu Maarufu wa Burudani na sanaa
-Beyoncé, Jay-Z, Kanye West (hutajwa mara nyingi kutokana na alama kwenye video za muziki)
-Lady Gaga (anadaiwa kutumia picha za Illuminati)
-Rihanna (anahusishwa na alama za kichawi zinazodaiwa)
4. Viongozi wa Kisiasa
Marais wa Marekani (hasa Bush, Clinton, Obama)
Umeshaokota wewe, hakuna kilichobakiKaokote na wewe chatgpt ndipo ulinganishe
Mbona una jibu kama roboti1. Familia Zenye Nguvu na Nasaba za Kifalme